Aah wapi, tuseme tu ukweli iPhone ni brand kubwa tu, lakini si kwamba ni ya magenious tu. Ina mapungufu mengi zaidi ya aliyoyataja mtoa mada. Sema kwa kuwa ni biashara Hamna tija kuyataja hapa.Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.
Nimekaa muda sana hapa nasubilia comment yako,walio wengi walichangia kimahaba.....Asante mkuu!!As far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.
1. Soc yao kwa sasa ndio best sokoni hakuna simu yenye processor yenye nguvu kushinda iphone japo kwenye gpu bado qualcomm yupo juu na mambo mengine kama modem na wifi anapitwa na simu za android.
2. Usiangalie tu ukubwa wa ram nipo radhi nitumie simu ya 2gb ram yenye dual chanell na ddr4 memory zenye speed kuliko simu ya 4gb ama 8gb ram ambayo ni single chanell na ram za ddr2 ama ddr3 zenye speed ndogo. Zipo simu zenye ram nzuri zaidi ila iphone zake pia sio mbaya zinapita hizi ram kimeo za kichina. Ukumbuke simu gpu yake inatumia ram ya simu hivyo jinsi ram ya simu ilivyo fasta na ndio apps na games zitarun smoothly.
3. Pia megapixel kwenye camera humaanisha ukubwa wa picha na sio quality. Dslr camera kali unaweza kuta ni 8mp tu. Kifupi kuchukua content za 4k inahitajika mp 8 tu. Ambayo kwa sasa ndio vifaa vya kisasa kama tv na pc vinaitumia. Quality ya picha sana inasababishwa na sensor iliotumika pia kuna vitu kama software, ois, aperture, lens etc vinachangia.
Kuhusu mambo mengine nakubaliana na wewe Apple innovation yao ni ndogo sana na ukikuta kitu chao kizuri basi utakuta kina mkono wa kampuni nyengine mfano display za samsung, memory za smasung etc. Kifupi ana asemble vitu best toka makampuni mengine na sio mvumbuzi kama baadhi ya kampuni nyengine.
Kuhusu software na Ecosystem zao zimetengenezwa kwa watu ambao hawataki mambo mengi kwenye simu, upige simu utumie whatsapp na insta etc.
Ila ukitaka mambo makubwa zaidi vitu kama VR, casting, file management, etc ios si yako.
Kuna uzi uliwekwa hapa siku moja wanasema tecno ni best kuliko iphone😂😂Mkuu umemjib vizur, mi nlishindwa kujib hoja moja moja kama ulivyofanya ww. Hongera, jamaa tunamkaribisha kwenye ulimwengu wa raha. Ila bado nasisitiza kama kilaza huwez kutumia iphone katu.
Your so right chief. Asante kwa uchambuzi wako. Sasa je ni sahihi watu wa iphone kujiona ndo first class people?? Ili hali wanamasononeko mengi na simu zao?As far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.
1. Soc yao kwa sasa ndio best sokoni hakuna simu yenye processor yenye nguvu kushinda iphone japo kwenye gpu bado qualcomm yupo juu na mambo mengine kama modem na wifi anapitwa na simu za android.
2. Usiangalie tu ukubwa wa ram nipo radhi nitumie simu ya 2gb ram yenye dual chanell na ddr4 memory zenye speed kuliko simu ya 4gb ama 8gb ram ambayo ni single chanell na ram za ddr2 ama ddr3 zenye speed ndogo. Zipo simu zenye ram nzuri zaidi ila iphone zake pia sio mbaya zinapita hizi ram kimeo za kichina. Ukumbuke simu gpu yake inatumia ram ya simu hivyo jinsi ram ya simu ilivyo fasta na ndio apps na games zitarun smoothly.
3. Pia megapixel kwenye camera humaanisha ukubwa wa picha na sio quality. Dslr camera kali unaweza kuta ni 8mp tu. Kifupi kuchukua content za 4k inahitajika mp 8 tu. Ambayo kwa sasa ndio vifaa vya kisasa kama tv na pc vinaitumia. Quality ya picha sana inasababishwa na sensor iliotumika pia kuna vitu kama software, ois, aperture, lens etc vinachangia.
Kuhusu mambo mengine nakubaliana na wewe Apple innovation yao ni ndogo sana na ukikuta kitu chao kizuri basi utakuta kina mkono wa kampuni nyengine mfano display za samsung, memory za smasung etc. Kifupi ana asemble vitu best toka makampuni mengine na sio mvumbuzi kama baadhi ya kampuni nyengine.
Kuhusu software na Ecosystem zao zimetengenezwa kwa watu ambao hawataki mambo mengi kwenye simu, upige simu utumie whatsapp na insta etc.
Ila ukitaka mambo makubwa zaidi vitu kama VR, casting, file management, etc ios si yako.
Unataka maelezo yapi zaidi? Nakupa mfano simu mojawapo yenye camera kali kwa mwaka huu ni Huawei P20 pro, ina triple cameras zenye 40mp, 20mp na 8mp zenye aperture ya f/1.8, f/1.6 na f/2.4 respectively.Utupe maelezo sasa,hiyo apecha pecha lololo,ipi kubwa na ipi ndogo,
Nimejadili kuhusu camera kwa sababu nimeona naweza kutoa ufafanuzi hapo. Siwezi kuongea vitu nisivyovijua vizuri.Jadili na mambo mengine
Hujajibu swali mkuu unaruka ruka tuNdio maana umeambiwa hizi simu wanatumia watu wanaojielewa
Hapo kwenye macbook kutamu sana mkuu!Kiukwel naipenda iPhone x10 kwanza ilvokaa ata wallpaper yake au display style.Nina uzoef wa iOS, android na Microsoft devices Ila iOS ni tamu kulko izo gadgets zingne mfano macbook air pc, iPad au iPhone yoyote unapoifunga na I cloud inakuwa na ulnzi tosha pia napenda downloading system yake huweka kudownload app nying kwa wakat mmoja, no viruses pia
Safi sana..Simu za Android zina garbage nyingi hivyo huitaj specification kubwa IPhone hazina garbage haziitaji specification kubwa ukitaka kuhakikisha chukua android yenye Ram na processor kubwa na iPhone yenye spefication ya chini kidogo jaribu kucheza game utaona znaenda sawa. Au jaribu kuwasha na kuzima.
Compare na watu kama Sony, Samsung, LG, Google/Htc vitu vingi Apple anapitwa.Your so right chief. Asante kwa uchambuzi wako. Sasa je ni sahihi watu wa iphone kujiona ndo first class people?? Ili hali wanamasononeko mengi na simu zao?