Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Mi simu ikishakua ya line moja inaniboa mengine naweza vumilia
 
iPhone ukinunua sawa na kusema Apple wamekuazima, maana huwezi kutumia nje ya mipaka yao.
Android ni wewe tu na utundu wako, fanya utakavyo hakuna wa kukuingilia.
Vipi kwa wale ambao hata android hawatumii nje ya mipaka yao?
 
Officially ios 13 ni kuanzia iphone 6s.

Kwa wale wenzangu na mimi, iphone 6+,6,5s mkapambane na hali zenu.
 
Watu wengi tuna matumizi ya kawaida sana.
Unakuta mtu ananunua simu milioni mbili lakini matumizi yake ni whatsapp, jf, facebook, instagram, kupiga picha...
Wabongo tunapenda kujitutumua sana tofauti uhalisia
 
Umemaliza mkuu! Thread ifungwe tu...
 
Kutoka kwenye note 4 to iphone 8+ lazima uone utofauti mkubwa.... hama kutoka kwenye Samaung kama s7 edge, S8, S9 then nenda kwenye Iphone 8 yako

Iphone 8 imetoka 2017 kuilinganisha na Samsung iliyotoka mwaka 2014 ni kama unaionea.
 
Mtoa mada umenena ukweli mtupu. Nilichogundua watu wananunua jina na sio ladha ya simu, mtu kaaminishwa IPhone simu bora yeye bila kufanta uchunguzi wowote anajilipua tu ili mbele ya jamii waonekane wamo.
Kiukweli hiyo simu imeanza kuadimika mikononi mwa watu na baada ya muda itakufa kifo cha NOKIA tuipe muda kudogo.
 
Tatizo iPhone hawatengenezi matoleo ya bei ndogo. Ndo maana watu wengi wanamiliki iphone 6, ukigusa 7 tu uwe na million
 
Papuchi kubwa na ndogo wewe utachagua kubwa?
 
Hahahaha sio shabiki sana wa selfies maana sura yenyewe hairuhusu.. Natumia sana camera ya nyuma kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Kupiga selfie cyo lazima uwe na sura flan amazing..hivyhvy unafaa, shida wengi hamjikubali
 
Umekosea hapo pa mkinga Mkuu

Wengine watakwazika
 
Mbali na hayo yote kwa mm sifikirii kuja kumiliki
Simu ya bei ya kiasi hicho
 
Watu wengi tuna matumizi ya kawaida sana.
Unakuta mtu ananunua simu milioni mbili lakini matumizi yake ni whatsapp, jf, facebook, instagram, kupiga picha...
Anatamani aonekane naye anamiliki simu kubwa
 
Watu wengi tuna matumizi ya kawaida sana.
Unakuta mtu ananunua simu milioni mbili lakini matumizi yake ni whatsapp, jf, facebook, instagram, kupiga picha...
Kila mtu na ulevi wake..nikikamata milion 2 saiv ni simu nanunua ila siyo Iphone. Kwann? Kwasababu napenda simu nzuri ila isiwe Iphone.
Ongeza kamba ule pakubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…