Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Inategemea na storage 16gb mpya ni 400k,32gb mpya ni 450.

Used inategemea na condition,unaweza pata kwa 250k mpaka 200k.
Nadhani nitanunua tu 16gb laki nne siyo mbaya...vipi hazipo fake nikakamatwa masikio!
 
Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati wateja
Samsung mwenyewe kashindwa
Frag nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]??na leo umefuatilia???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chief-Mkwawa simu yangu ya I Phone 5s inazimika na kuwaka yenyewe alafu betri linaonesha mara limejaa mara limeisha. Tatizo laweza kuwa nini? Msaada pls!
 
"*yaani simu za apple yaani hiiiii we acha tu" swali tuambie una enjoy nini kwenye Iphone? Yaaani iphone yaaaani ni nzuri"
Upuuzi kabisa NILIKUWA NAJIPA GA KUNUNUA Iphone nimeacha hakuna aliye jibu hoja wala kutaja nini ki amfurahisha
Simu hupati Local app wala haina compatibility na device zi gine huo ni utumwa.
Simu za kichawi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati wateja
Samsung mwenyewe kashindwa
Unaonaje bei ya samsung S10+yenye gb 512 ?

Sent using Samsung Galaxy
 
Unaonaje bei ya samsung S10+yenye gb 512 ?

Sent using Samsung Galaxy

Ni sim nzr
Siku zote nairespect samsung kwakuwa ni kampuni kubwa yenye kujitaidi kufrahisha wateja wake
Though bei ziko juu kidogo ila najua baada yamiezi 9 zitashuka sana nami ntanunua
Nilkuwa na mpango na s9 au oneplus lkn ngoja ningoje
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
aiseee nimecheka kifala kudadeki!!
 
interaction ni muhimu,mimi hututumia redio yenye bluetooth kuongelea ndani ya gari sasa kwa iphone siwezi fanya mambo haya.

Nani ka kwambia huwezi tumie bluetooth ya i phone kusikiliza radio mbona me nafanya
 
Mimi tangu nilipoanza kutumia apple devices sijawahi kujutia mwanzoni nlikuwa nawashangaa watu wanaozisifia nawaona hawajui kitu lkn nlipoingia nmeelewa vzr
Labda mkuu naomba kujua kuhusu hizo simu za iphone app ya JAMIIFORUM inakubali?
Kama inakubali hiyo mengine hayo kwangu mimi ni ziada!
 
Labda mkuu app ya jamiiforum vipi nayo haikubali?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Inakubali mkuu
Mkuu hapa nilipo natumia android ya kampuni ya xiaomi model redmi 4a.

Simu nzuri kwangu inayoniwezesha kuperuzi kwa urahisi na kwa muda mrefu.

Maana mimi sio mpenzi wa ku dowload mara kwa mara na wala sio mpenzi kusikiliza muziki kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…