Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

mbona ata iphone za beichee zipo

Sio bei chee bali zimeshuka thamani kwakuwa ni za bei ndogo, nachomaanisha toleo jipya kuwa special kwa bei ndogo
Oppo find ni simu sa bei ndogo huwezi linganisha na apple ata robo
 
Mkuu unaweza ukaelezea hapo...ni vipi smartphones zinaweza kuwa obsolete???
 
Mkuu unaweza ukaelezea hapo...ni vipi smartphones zinaweza kuwa obsolete???
Nitajaribu kadiri ya uwezo wangu!

Ingawa muda bado ni mrefu, huko mbeleni technolojia itakuwa imekuwa kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwamba hizi physical devices zitaweza kuja kuwa replaced na aina nyingine ya teknolojia ambayo itafanya matumizi ya hizi simu kuwa machache sana.

Mfano mzuri tu ni kama landline phones. Nani enzi hizo angezani itafika siku au muda, zitakuwa hazina matumizi kama zilivyokuwa enzi zao?

Mfano mwingine. Nani anakumbuka Floppy Disks [emoji334]?. Kuna moja nilishatumiaga back in the days ilikuwa na 1.44Mb. Then zikaja CDs, then DVDs, then the Flash Drives, hadi external HDs. Lakini ingawa hizi physical storage devices bado ziko heavily in use, Nadhani wote tunaweza tukaona namna zitakavyopisha Cloud Storage miaka michache ya mbeleni. Raise a dead from the 90s and tell him about your 115Gb Google Drive, and I bet you 2 coins, he'll be amazed!.

Artificial Intelligence ilikuwa theoretical na hypothetical miaka iliyopita lakini leo hii tunasoma jinsi Google's AlphaGo AI ilivyomcharaza Lee Sedol 4 - 1 katika mchezo mgumu sana wa Go Google’s AlphaGo AI wins three-match series against the world’s best Go player

Ongezea AI na spidi ya ubunifu unaendelea kila leo katika utengenezaji wa vifaa vya kiteknolojia, utaona jinsi huko mbeleni mambo yatavokuja badilika.

Mfano, tayari tunashangazwa na uwezo wa Google's Assistant katika kutusaidia shughuli nyingi za simu na kila siku (kama hujawahi ongea na Google Assistant hapa utadhani nakudanganya). Na bado Google wana mpango wa kufanya the Assistant iweze kusound more human to the extent ya kuweza kukusaidia kupiga appointed calls na kuweza mfanya recepient wa call hiyo aamini kabisa kuwa alikuwa anaongea na mtu.
The future will be full of tech that will easily extinct the physical devices.

Swali kubwa tu ni "je tutakuwepo kuyaona hayo?"
 
Mkuu usikariri multitasking sio 2 apps unaweza fanya multitasking hata apps 100 na zaidi, usichanganye side by side multitasking na multitasking yenyewe. Iphone unapotoka kwenye app baada ya muda ina reload na hai resume instant hivyo kama ni app inayotegemea session inakula kwako.

Unaweza weka video inayoonyesha setting moja imetumika? Mfano zote zinarun at 720p na sio moja inarun 2k na nyengine 720p then ulete claim zisizo sahihi. Fortinite inalag vibaya mno kwenye iphone na android pia nakuwekea baadhi ya ushahidi


Na pia epic wenyewe watengenezaji wamekiri na wameahidi fix

Again nakupa source ya fans wa Apple

Epic Games promises fix for Fortnite’s performance & graphics issues on iOS

All in all point yangu haikuwa kupambanisha nguvu ya hizi device bali kukuonesha processing power ya simu haitoshi na bado inahitajika zaidi.

Nguvu inahitajika, sijakataa, lakini dont waste resources! hio ni my main point. Kuna mchina jina limenitoka, anakuja na 10GB of rams.... niseme tu, these are used for marketing purpose.
Mkuu jinsi zitakavyoongezeka power ndio jinsi matumizi yatakavyokuja. Sasa hivi samsung na Huawei wanakuja na docks na kuwezesha simu zao kutumika kama desktop, simu ina 512GB internal na ram 8gb, nikiwa nyumbani inakaa kwenye dock yake na kuconect na monitor naenjoy. Kuna matumizi mengi tu utaenjoy power ya simu.



Mkuu huko kwenu tarehe ngapi leo? Maana sikuelewi ujue uzi mzima unataja tu s4 inaingia vipi hapa simu ya 2013 zaidi ya miaka 5 iliopota?

Samsung anacopy ndio ila Apple anacopy zaidi, 1bn aliopigwa fine samsung haifikii 2B alizolipa Apple kwa Nokia mwaka jana, bado pia Apple amekutwa mara kibao anaiba tech za watu mfano.
2011- touch screen and related technologies toka nokia
2017- processor za Apple zilikuwa zinaiba technology ya Wisconsin University
2018-Virnetx patents za communication

Hizo ni lawsuit kubwa ambazo Apple amelipa trilioni 1 ama zaidi za kitanzania bado nyengine ndogo ndogo anazolipa mara kwa mara, kinachomsaidia Apple ana hela tu na uwezo wa kulipa hizo damage ila haipiti mwaka bila Apple kukamatwa na hatia ya ku copy technologies za watu.


Mkuu issue hapa ni kufuata trend. Hebu tuangalie iphone na samsung miaka 3 ama 5 iliopita.

-iphone zina kioo kidogo na samsung kioo kikubwa na fans wa iphone wanawacheka wa samsung misimu yao mikubwa
-iphone zinatumia LCD na kina samsung OLED/Amoled na wanachekwa kina samsunh vioo vyao vina burn in
-iphone zina bezel na samsung akaanza bezel less kuanzia 2015 kama sijakosea enzi za s6 edge
-Simu za samsung zilikuwa na resolution kubwa sana wakati iphone wao walikuwa hawajali resolution hata HD iphone zilikuwa hazifiki.
-wao iphone chaja za kawaida tu ila kina samsung na wireless charging waliambiwa ni useless feature
-iphone zilitumia chaja za kawaida na Samsung fast charging
-iphone haikuwa water resistant na samsung zilikuwa toka enzi za s5
-iphone zilikuwa na mono speaker na samsung stereo
-iphone ilikuwa mpaka ubonyeze power key ndio uone kama ni saa ama notification za lockscreen wakati samsung alikuwa na always on screen
-ku unlock simu ulikuwa huwezi kwa ku double tap kwenye iphone.

Hayo mambo 10 niliyokutajia Apple hana sasa hivi? Kila mwaka innovation zake ni ku copy feature za wenzake.



APP usichague wewe, app achague mtumiaji, mfano una emulate windows kwenye android gb ngapi za ram utahitaji? Nyingi tu. Na hata hio photoshop unayoitaja wewe ni ile app ya bure, ipo full photoshop ya android adobe aliizindua sema watu walichakachua sana alivyoona hapati mapato akaitoa store na kuo discontinue, uzuri wa android unaweza uka sideload apk yake hata leo na kuitumia. Ina feature nyingi za version ya pc.



Ghz si nguvu ya processor wala wingi wa core intel cpu zake zikiwa na core chache na clock ndogo zinapita cpu za Amd zenye core nyingi na clock kubwa.

Its all about ipc (instruction per clock)

Cpu inaweza ikawa 1.1ghz na ikawa na nguvu kushinda yenye 3.5ghz, cpu inaweza ikawa na core 4 ikaishinda yenye core 8. Mfano mzuri ni snapdragon 820 ina core 4 tu ila ilikuwa best mwaka wake.

Na kama hufahamu kuanzia iphone 6s Apple ana best processor on market ina nguvu kushinda simu zote kama nilivyoelezea post yangu ya kwanza. Hivyo kama unaamini processor yenye nguvu ni useless anza na kampuni yako pendwa.

Kama nilivyokwambia hapo juu multitasking si kurun app mbili kwa mpigo tu, mfano nikupe wa multitasking.
Nafungua youtube naplay playlist ya miziki kisha naminimize app ya youtube, mziki wangu unaendelea kupiga, nafungua app yangu ya wechat mchina amenitumia msg, nafungua google translator, naiweka wechat na google translator side by side, napaste msg zake kwenye translator huku namjibu. Akiwa hajibu upesi naweza fungua game la draft kidogo nacheza huku nasubiria ajibu, naswitch baina ya wechat na game mara kwa mara no reload.

Huo ni mfano mdogo tu ila unaweza fanya multitasking ya apps kibao.[/quote][/Quote]
 
Agreed, kuna uwezekano mkubwa wa personal asistant ku replace hizi apps, na bila apps smartphone zitakuwa zimepungua umuhimu sana.
 

A very informative post,now this is the Jf i used to love! Mimi natumia Iphone Six +,napata hisia zote za kwenda Android specifically Note 9 mambo ya fedha yakitengemaa[emoji3][emoji3]
 
Boss wewe unajua nini maana ya Fact. Umesomeka sana
 

Product za apple ni kama unga, ukianza kutumia hautoacha.
 
Kila la kheri bana.samsung raha yake chukua simu kubwa.

Ha ha ha sawa mkuu,naelekea huko mkuu!! Nimesoma hoja zote zilitolewa humu,wapo waliojibu kwa Facts lakini wengi ni Mihemko,Prestige na Mazoea! Ukiwa mtu mzima mwenye Afya ya Akili UNAPIMA halafu UNAAMUA!
Pamoja!
 
[/Quote][/QUOTE]
Chief,right now natumia simu ureply, niwie radhi siwez kureply mstari kwa mstari kama mwanzo, lakini nitajibu point kwa point.

Naelewa vyema multitasking. Kukupa mfano wa 2 apps running side by side haimaanishi sijui kuna background apps still running. Nimekupa mfano huo kwa sababu the app you are running side by side are more focused than those running on the background. Ukiwa una run 2apps side by side and they need more rams, the app running on the background will be affected. Kwa sababu your device will ive priority on app that you are currently using au sio? Nipe mfano wa apps running on background and running side by side and will eat all 6gb rams. Nipe mfano wa real life situation in s9plus. I need to know this. Kumbuka our main sibject ni efficiency of the cores working.

Kuhusu fornite, ingia youtube utaona gameplay between x na hio plus model utajionea mwenyewe. Ikiwa dev amelikoroga mwanzoni na anaweza kutoa fix, je huo sio ishahidi wa lack of efficiency on the dev side? Vipi utailaumu device hapo?

Kwenye msukule wa spark 8 nlokuwa nao, snapchat inaganda na simu ina 1gb of ram, ishu si tecno wala specs, bali no developer.

Kuhusu Samsung dex, it is a good move, finally a mobile os can be turned into desktop, but again how much power does it need according to the apps they have? Apple dont wanna mix mobile os na desktop os, kwa sababu they have mac already.

Umezungumza kuhusu masuala ya copying, mjadala halisi ni why low specs on iphone wakato wenzake wana high specs. Lakini hata hivo umezungumza vitu ambavo was a matter of choice. Should i go with big screen or small one? Waterproof or not? N.k coppying ya Sam ni ya kichinese kabisa, ame copy design ya simu, amecopy mpk icons!! Thats cheap.... suala la Lcd au LED is a matter of choice. Na if am not mistaken, they are buying display from something, how can you call that copying? Au Apple wanakiwanda cha led displays? You see unaongea a matter of choice, bezel less nimeona sharp kaja nayo mwanzo not s6 edge. Nikisema sam anaiga kutumia 64 bit chip nitaonekana sina akili, kwa sababu tech hio ipo.

Umeongea clock speed. Ni kweli higher speed sasa ivi haimaanishi powerful, lakini kumbuka zote ni morden chips, X is clocking lower than splus speed and yet executing more instruction faster, that means X is EFFICIENT. Thank for axknowledging my point.

Halafu ukatumia hisia zaidi kuniambia nianze na kampuni yangu pendwa, ndio napenda iphone kama wewe unavopenda nokia a dead company that is only licensing the name and tech so far. Hebu nambie, processor the apple hazina matumizi ya power yote hio iliokuwa nayo according to the current features? All apple is doing, is giving you what you need, and making the best of it. Very simple tu. If six cores performs way better as you yourselves said it, why would apple put 8 cores juust for people to say i have an 8 core processor?

Umezungumza kuhusu kufungua youtube na ku play nyimbo huku imeminize na kuendelea kutuma message wakati nyimbo inapiga youtube na app iko monimize. Brother, youtube ukiminimize yenyewe nyimbo ina stop, sio tatizo la nultitasking capability wala rams, no dev tu alivofanya. Google ameona ukiingia youtube unatizama video, ukiiminimize kaona utapitwa kwaio ana pause mpaka uifungue tena. Sasa kama amesikia kilio cha watu, anaweza akafanya youtube iendelee kupiga mziki wakati umeminimize. Mbona iphone unaendelea kula mzika kwa player yao ikowa screen iko locked kabisa? Ukiachia media player yao, hata apps nyengine nilokiwa nikitumia kudownload mziki, zilikiwa zinatwanga nyimbo fresh on the background wakati natuma msg au na browse tu.

Ivo application zako zote ulizotaja ndio zinahitaji 6gb of rams kurun simultaneously?

Yaani ufungue 100 apps zifanye kazi wkt mmoja hali ya kuwa siku nzima una run app 2 tu. Are you serious? Thats wastefulness of resources.
 
Mimi Iphone hata bure siitaki.

Tigo hata wanipe bado la GB 1000 na Dakika za kupiga sim mitandao yote kwa miaka 5 sichukui.

Mimi ni Vodacom na Samsung. Sijawahi kuona. Nimetembea Duniani kote hadi ahera sijawahi kuona hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…