Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kaka kukataliwa kwako hakuhusiani kabisa na hisia za wanawake wengine, mie sina tabia za hao madem wako!
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

Nitafute upime la wangu ukipenda nitakuoa tena nitakuachia ujipimishie wewe mwenyewe
 
Janerose
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
Kumbe namba yako ndio hii ok
 
Last edited by a moderator:
yaani kuingia kwenye mahusiano unatafuta ndoa , tena utakuta unaianza hiyo misheni toka unatongozwa ni hatari kwa afya ya mahusiano...........
halafu tena umeshapanga unataka watoto watatu........

hiyo approach yako siyo kabisa........
 
Back
Top Bottom