Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

uploadfromtaptalk1376216595002.jpg Karib
 
skiza jane siku zote mahusiano ni hatua, u cant marry an immediate guy just meet him few moths ago, chagua samples tupo. vijana wengi tu. humu ikiwemo mm, chagua japo watatu afu jaribu kufatilia mienendo yao just humhum jf kwanza afu ukishaona at least then m pm then.
.........yan stage kwa stage utampata tu, I think I help u some how!!!!
 
Jamani serious!

Haupo serious unatuenjoy, si wewe uliweka post kule love connect dec 28 2012 kuwa unataka mume wa2 wameapply ukasepa bila kujibu? si una miaka 23? rud kule kuna application kibao kajichagulie mchumba
 
Sikupata mume ndo maana nikaomba ushauli kuwa kwanini mimi sipati mume wa maisha yangu, jaribu kuwa mwelewa ndugu usikurupuke nataka ushauri sio mume
 
nilikua nakutafta but I don't think if your serious??prove to me
 
Inaonekana unachagua kwa macho ukitamani magari na unafuu wa maisha. ukifuata instinct za ndani hutampoteza. pili unawapenda sana ghafla na kuonyesha yeye ndo yeye matokeo yake anakukinai na kusepa
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

anza kwa kuni-pm me.
 
Sikupata mume ndo maana nikaomba ushauli kuwa kwanini mimi sipati mume wa maisha yangu, jaribu kuwa mwelewa ndugu usikurupuke nataka ushauri sio mume

Ahaa kumbe ushauri tu, punguza nyodo na usiwe too selective!!!!
 
Jamani kwanini mimi sipati
mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu!
wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

pole, utampata tu! ila jitathmini tena ukipata muda, angalia trend yako kimahusiano waweza kuona kitu chenye msaada kwako! Kila la kheri!
 
mnajifanya matawi sana tatizo lenu, mapozi meengi, ndo maana vidume wakishaona hivyo wanasotea mzigo akishakula anasepa
 
Back
Top Bottom