MUME MWEMA
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 327
- 44
Hapana vijana wengi hamjiamini kama unaweza kuoa that kind of lady na unakuta mtu yuko na hakika bado mna mambo yakudanganya wadada wakati huko tulishatoka!
Me nataka mke wa pili upo tayari? Nitakupatia watoto 2!