Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Haa haa, Sipo kiivyo, tamaa ilishapitwa wakati mchicha na nyama sio mapenzi!
 
Oooh hizo ndoa za mateso ndo sizitaki ndo maana naona kila anaetaka nimtambulishe kwetu itakuwa kujuta kwangu baadae ila sio mbaya ntasubiri hiyo miaka 40 kama bado ntakubali kufa na mayai yangu tumbon
 
Hapana vijana wengi hamjiamini kama unaweza kuoa that kind of lady na unakuta mtu yuko na hakika bado mna mambo yakudanganya wadada wakati huko tulishatoka!
 
Mmmh poa bana mr Ngoshas ila mie sina masharti magum isipokuwa nataka upendo wa dhati
 
Oooh hizo ndoa za mateso ndo sizitaki ndo maana naona kila anaetaka nimtambulishe kwetu itakuwa kujuta kwangu baadae ila sio mbaya ntasubiri hiyo miaka 40 kama bado ntakubali kufa na mayai yangu tumbon

au uuze kwa wakaanga chips :love:
 
Umeniweza inawezekana ila hujajua chanzo cha mimi kusema hivyo!
 
Waliokukataa enzi za ujana wako wakakutaka kwasasa sio kama mimi ndo maana ujana wangu nautumia kumsaka mume wa maisha yangu, oopss!
 
Nahofia kukupa pic yangu wala history family yangu unaweza kuningangania bure maana sio wewe utoto unakusumbua ukikua utaacha!
 
Unahitaji msaada wa maombezi na watoa matangazo ya waganga wenzio
 
Suala la ndoa sio la kufanyia majaribio

Pia ndoa inawahusisha watu wawili

Anaeoa na anaeolewa

Hawa wote wanatakiwa wajue wanahitaji nini

Pia kuna suala la utayari wao wanaooana

Kwenye suala hili inaonekana tatizo ni wewe

Hebu niambie ni kitu gani unahitaji kutoka kwa huyo mume?

Mume yupi sasa?
mtu anasema hampati mume wewe unampa semina ya ndoa
 
Ukiona ivo ujue machine used hahahahaha wadau wanapita na kutoka
 
Usiwe na wasiwasi, jitulize, na usipende kuanzisha mahusiano ambayo unajua hayana feature yoyote, Cause hayo yatawakimbiza wale ambao wapo serious. Pia usisahau kusali
 
Back
Top Bottom