Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

Wewe type ya kuolewa???!!!

wakati wa timing uliugundua au ulikupita ukiwa busy na ujana???!!!

Profile yako insuport kuolewa!!!! Au hela ya mchicha unataka nyama????
 
Oops!
Sasa kama huyu mdada atakuwa anakiribia 40, yaani azidi kuvumilia tu na kujiheshimu hadi lini mkuu? Wakati mwingine we have to strike the nail down to the head.

Umri kukaribia 40 ni sababu kweli ya msingi ya kumfunga mdada kulazimisha ndoa?! Hivi binadamu hawezi kuishi bila ndoa kama suala la ndoa limekuwa gumu? Kuna faidia gani ya kuforce ndoa ambayo hatma yake ni huzuni, majonzi na majuto siku zote? Watu wanaolewa ilimradi wameolewa au wanaoelewa ili kupata amani na furaha kwenye ndoa zao?

Nauliza kipuuzi tu, kuna faida ya kuoelewa na kuishi maisha ya matatizo na ugomvi? Upendo haulazimishwi ndg yangu na saula la ndoa si suala la kwenda kufanya majaribio kule, ile ni taasisi nyingine kabisa na ukibugi utajuta maisha yako yote.
 
kwa nini ukubali kutapeliwa mara kwa mara? Nyie ndo huwa mnalazimisha mambo bila kuangalia utayari watu......unadanganywa kutokana na jinsi ulivyo jiposition....
 
Unachagua sn, unamasharti magumu unaUzungu mwingi. Wanaume wengi kweli lkn waliotayari kukubaliana na mojawapo ya hivyo Ni wachache, na ndo maana hujawapata
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

unajuaje wana pretend?

mapenzi huwa hayana macho, kama ungempenda/ungemtaka mmoja kati ya hao usingeona kama ana-pretend unless uwe umeshaingia kwenye uhusiano nae halafu ukagundua kuwa ana-pretend.

Mara nyingi mtu usiyemtaka akiwa anakutaka hata ki-ukweli wewe utamuona ana-pretend hata kama ha-pretend.
 
Tatizo lenu wadada muda wa kuolewa mnakua bize na ujana,watu wanajitokeza mnaleta pozi ooh mi bado msichana,mkija kustuka 35 tayari,na katika age hiyo wanaume wa kukuoa washaoa tayari,hapo ndo mnaanza kutusumbua humu jf
 
Hivi aliyewaambia kuna umri kamili wa kuolewa ni nani?
Na kwa nn umfikirie sivyo?..kwahyo uolewe 2 coz jamii inataka/inaamini ukifika umri fulani lzm uwe umeolewa?
..ss yy kaweka tangazo,ww amekusumbua nn?..
Nyie ndo mnafanya wadada wengi wanaolewa(na watu wasiowapenda) ili mradi waonekane wameolewa
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

Ukichagua nawe Unachaguliwa!!!
 
Jamani kwanini mimi sipati mwanaume ninaependa awe mume wangu wa maisha anipatie watoto watatu! wote wanaonijia wana pritendi ila sio, nifanye nini?

Kuna mawili, moja inawezekana haujatulia so kila anayekuja kwako anaogopa kukuweka ndani maana itakua rahisi ye kumegewa AMA unapenda makuu katika relationship, na tena sio WIFE MATERIAL.
 
Back
Top Bottom