Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,213
- 6,389
Alafu wewe aggyjay...... Jumatatu utanieleza vizuriTatizo mengine kuyataja yanaleta maana mbaya.kwa mfano hapo jina sembuli sie kwetu tanga wanalitumiaga kuita sehemu za siri za watoto Wadogo wa kiume kiutani tu...sasa ukute jamaa anatoka mbeya huko.anaitwa ANTOMBILE JOHN MWAKISIMI!! Unadhani atapenda kujiita atapenda kujiita antombile mwakisimi?? Atajiita antombile john.
Last edited by a moderator: