Kwanini siku hizi watu hawatumii majina ya ukoo?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Aman iwe kwenu,

Kuna mambo lazima tujiulize kwanini watu wengi hasa Vijana wa kike hawataki kutumia majina ya koo za baba zao badala yake hutumia majina baba zao kwa mfano unakuta
Anaitwa
Anna John Sembuli
Lilian Lucas Kibiki
Rose Ayubu Kericho
Frank Justine Mkinga
Badala yake unakuta Anajiita
Lilian Lucas

JE KWANI HAMTAKI KUTUMIA MAJINA YA UKOO ZENU BADALA MNATUMIA MAJINA YA BABA ZENU?

ANGALIZO
Wazanzibar hapa hawausiki kwa sababu wao sio ajabu kukuta watu mia wanaitwa Salim Rajab Salim.
 
Tatizo mengine kuyataja yanaleta maana mbaya.kwa mfano hapo jina sembuli sie kwetu tanga wanalitumiaga kuita sehemu za siri za watoto Wadogo wa kiume kiutani tu...sasa ukute jamaa anatoka mbeya huko.anaitwa ANTOMBILE JOHN MWAKISIMI!! Unadhani atapenda kujiita atapenda kujiita antombile mwakisimi?? Atajiita antombile john.
 
Majina mengine ni aibu kutamka mfano NANGUMA hahahha hili ni jina la binti mmoja mrembo
 
Tatizo mengine kuyataja yanaleta maana mbaya.kwa mfano hapo jina sembuli sie kwetu tanga wanalitumiaga kuita sehemu za siri za watoto Wadogo wa kiume kiutani tu...sasa ukute jamaa anatoka mbeya huko.anaitwa ANTOMBILE JOHN MWAKISIMI!! Unadhani atapenda kujiita atapenda kujiita antombile mwakisimi?? Atajiita antombile john.

Hata haya huna wewe mtoto wa kike unaongea mijitusi namna hii ? au unadhani hatukufahamu.
BURE KABISA WEWE JIHESHIMU UHESHIMIWE
 
Aman iwe kwenu,

Kuna mambo lazima tujiulize kwanini watu wengi hasa Vijana wa kike hawataki kutumia majina ya koo za baba zao badala yake hutumia majina baba zao kwa mfano unakuta
Anaitwa
Anna John Sembuli
Lilian Lucas Kibiki
Rose Ayubu Kericho
Frank Justine Mkinga
Badala yake unakuta Anajiita
Lilian Lucas

JE KWANI HAMTAKI KUTUMIA MAJINA YA UKOO ZENU BADALA MNATUMIA MAJINA YA BABA ZENU?

ANGALIZO
Wazanzibar hapa hawausiki kwa sababu wao sio ajabu kukuta watu mia wanaitwa Salim Rajab Salim.

Kawaida mtu utambuliwa kwa jina lake na la baba yake, kuongeza jina la ukoo mbele ya jina la baba yako ni mbwembwe tu, mfano mizengo kayanza peter pinda
 
Hata haya huna wewe mtoto wa kike unaongea mijitusi namna hii ? au unadhani hatukufahamu.
BURE KABISA WEWE JIHESHIMU UHESHIMIWE

hapo kwani sikatoa mfano tuuu mbona watokwa na povuuuu???
kwani mada inazungumzia nini na yeye kajibu nini??
 
Mjaina mengine unakuta ni jina la dawa
iliyomtibu mama yake wake wakati alipougua
kutokana na mimba yake.. sasa akilitumia
anaona noma sana......
 
majina ya koo saa nyingine huleta utambulisho wa wazi utokapo, katika ulimwengu huu ulojaa chuki kisiasa( ccm v.chadema,ukanda n.k)kiuchumi,kijamii(makabila,taifa,kanda,) waweza kosa nafasi flani kisa asili yako,mfano uteuzi wa wafanyakazi ambapo mteuzi ana chuki na watu Fulani akiona tu jina unakatwa
 
Aman iwe kwenu,

Kuna mambo lazima tujiulize kwanini watu wengi hasa Vijana wa kike hawataki kutumia majina ya koo za baba zao badala yake hutumia majina baba zao kwa mfano unakuta
Anaitwa
Anna John Sembuli
Lilian Lucas Kibiki
Rose Ayubu Kericho
Frank Justine Mkinga
Badala yake unakuta Anajiita
Lilian Lucas

JE KWANI HAMTAKI KUTUMIA MAJINA YA UKOO ZENU BADALA MNATUMIA MAJINA YA BABA ZENU?

ANGALIZO
Wazanzibar hapa hawausiki kwa sababu wao sio ajabu kukuta watu mia wanaitwa Salim Rajab Salim.

Haya tunapita,acha waje wabara wakujibu
 
Kuna siku tulikuwa tunataka tutumie shortcut kupata nafasi ya upendeleo,boss akasema hapo jina ndo shida isingekuwa jina mambo yangefanyika bila wengine ile ofisi kunusa harufu ya upendeleo
 
Wengi wanaogopa atahli zake kwa watoto hasahasa kubaguliwa kwenye huduma mbalimbali za kijamii mfano elimu,ajira etc kutokana na kabila la mtu
 
hilo hipo mkoa wa kagera na mikoa ya pembezoni wengi wanakuwa na asili ya nchi jirani wahamiaji haramu mtu anaitwa john pius ishendemana ,si utajua huyu ni ndugu yake kagame
 
Mimi hata la baba situmii natumia majina yangu tu mawili
 
majina ya koo saa nyingine huleta utambulisho wa wazi utokapo, katika ulimwengu huu ulojaa chuki kisiasa( ccm v.chadema,ukanda n.k)kiuchumi,kijamii(makabila,taifa,kanda,) waweza kosa nafasi flani kisa asili yako,mfano uteuzi wa wafanyakazi ambapo mteuzi ana chuki na watu Fulani akiona tu jina unakatwa

Halafu sipendi mtu umeenda ofisini unajitambulisha kwa jina au unampa mtu buzcard anaangalia afu anasema we jamaa kumbe unatoka mkoa/kabila flani..tabia mbaya sana!!
 
Aman iwe kwenu,

Kuna mambo lazima tujiulize kwanini watu wengi hasa Vijana wa kike hawataki kutumia majina ya koo za baba zao badala yake hutumia majina baba zao kwa mfano unakuta
Anaitwa
Anna John Sembuli
Lilian Lucas Kibiki
Rose Ayubu Kericho
Frank Justine Mkinga
Badala yake unakuta Anajiita
Lilian Lucas

JE KWANI HAMTAKI KUTUMIA MAJINA YA UKOO ZENU BADALA MNATUMIA MAJINA YA BABA ZENU?

ANGALIZO
Wazanzibar hapa hawausiki kwa sababu wao sio ajabu kukuta watu mia wanaitwa Salim Rajab Salim.

Siyo kweli mkuuu
 
Back
Top Bottom