mimi na mfano hai baba yetu sisi aligoma tusitumie jina la ukoo kuepuka chuki na fitana ambayo tayari alikuwa amekutananazo wakati yupo kazini..lakini mimi baadae niliamua kuanza kulitumia ila kaka zangu,dada zangu hakuna anaelitumia jina la ukoo labda mpaka eneo litakapo hitajika sana
Hii ni aina fulani ya ulimbukeni ambayo jamii nyingi ya kiafrika Tunayo,kwanza ni utumwa wa kifikra na umagharibi kukataa majina ya ukoo/kilugha. Hata kama jina lina maana mbaya kwa jamii nyingine sio kisingizio cha kulikataa.
Mimi ndio maana nawazimikia kwa Madiba maana wanajali sana kutumia majina ya ukoo na yanawatambulisha sana.
Binafsi nikibahatika kupata watoto basi majina ya kilugha yanawahusu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.