Kwanini siku(days) zilipewa majina ya kiislamu..?

emmadizzo

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,340
1,439
Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi..

Jumatatu
apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu nilkutana na tatu kama wanne wote waisilamu.

Jumanne
ili linafaamika ingawa pia kunawakristu hulitumia lakini wengi wao waisilamu.

Jumatano
Apa juma kamakawaida lakini tano sijawai liskia popote.

Alhamisi
Apa kunamajina mawili kuna Ali na Hamisi.

Ijumaa
Apa nilshakutana na watu wanaitwa "jumaa"kama wa tatu ivi ni waisilamu.

Jumamosi
Apa lipo jina la "juma" ila "mosi"sijawai kuliskia

Jumapili
Apa yapo majina mawili tena kuna "juma" na "Pili"nilishakutana na jina la Pili mala tatu wote waislamu.

Kwa ayo majina hakuna tatzo lolote ila tu kwanini yatoke upande mmoja

Karibuni ndugu mnipe majibu.....
 
kiswahili ni lugha ya watu wa pwani ndio asili yake,sasa my dear brother usishangae jamii ya watu wa pwani wote ni waislam.
 
Hizo lugha kuweka ivyo sijatambua bado ila walieneza kiswahili ni waarabu kwa kingereza huja kwa tafsiri tofauti
 
Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi..

Jumatatu
apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu nilkutana na tatu kama wanne wote waisilamu.

Jumanne
ili linafaamika ingawa pia kunawakristu hulitumia lakini wengi wao waisilamu.

Jumatano
Apa juma kamakawaida lakini tano sijawai liskia popote.

Alhamisi
Apa kunamajina mawili kuna Ali na Hamisi.

Ijumaa
Apa nilshakutana na watu wanaitwa "jumaa"kama wa tatu ivi ni waisilamu.

Jumamosi
Apa lipo jina la "juma" ila "mosi"sijawai kuliskia

Jumapili
Apa yapo majina mawili tena kuna "juma" na "Pili"nilishakutana na jina la Pili mala tatu wote waislamu.

Kwa ayo majina hakuna tatzo lolote ila tu kwanini yatoke upande mmoja

Karibuni ndugu mnipe majibu.....
Kwa hili pia limekuumiza
 
Wanaisimu hawakubali kuwa Kiswahili ni Kiarabu. Wanasema ni kibantu. Lakini ukweli Kiswahili (sahel) in Kiarabu kwa 90%.
Tukubali tu kibantu ni 5% na 5% iliyobaki ni matoholewa kutoka lugha zingine.
 
kwanza kabisa nakupale kwa kua na itikadi ya udini,pia kwa kutofananisha lugha ya kiarabu na na dini ya kiislamu,je unataka kuniambia kua lugha ya kiingereza ni dini ya kikrito?sasa tuanze hivi,katika lugha ya kiswahili 50% ya misamihati inatokana na lugha ya kiswahili kama ntakua sijakoa,50% zingine ni lugha ya kibantu,kireno na lugha zingine,pia si kila muarabu ni muislam na pia si kila mzungu ni mkristo,maana imani ya dini haina utambulisho wa utaifa,MWISHO WA KUWASILISHA
 
Si Kweli

Jumapili ni Jumapili na hao Juma Na Pili ni hao hao.

Jifunze kiswahili. Utakuwa na Elimu ya Kibashite kama Utadhani siku ya Alhamisi ni kuunganisha majina Ali na Hamisi ndo upate hiyo siku.

Kwenye Kalenda ya Dini ya Kiisalamu inayoanzia Hijja ya mtume wa allah mwamadi siku zao zaitwaje?
 
ArabicDaysoftheWeek.jpg
 
Wanaisimu hawakubali kuwa Kiswahili ni Kiarabu. Wanasema ni kibantu. Lakini ukweli Kiswahili (sahel) in Kiarabu kwa 90%.
Tukubali tu kibantu ni 5% na 5% iliyobaki ni matoholewa kutoka lugha zingine.
Wajinga wenzako kwenye mdaharo walikimbia kwa madai kama yako... Kiarabu ni kiarabu na kiswahili ni kiswahili vijimaneno tu vichache vinafanana na kiarabu na vingi hapo havitamkwi kama kiswahili so hakuna mfanano Mwarabu akiongea huelewi kitu na Mswahili akiongea Mwarabu haambulii kitu.
 
Back
Top Bottom