donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwanza kabisa shoot out kwa wote watakaoenda kula bata fiesta, mi na watakia kuenjoy kwema.
Ila kwa upande wangu nitakua baadhi ya wale ambao watabaki majumbani kwao wakiomba basi tukio lirushwe rasmi na Clouds TV walau tukiwa tunakula ubwabwa maharage wetu tuwe pia tunapata burudani.
Kiukweli mimi fiesta cha kwanza kinanishindaga ni nyomi la watu. Aisee watu huwaga wanakua ni wengi mpaka starehe inageuka kero. Katika mkusanyiko huo wa watu, kuna watu wa makundi ya kila aina. Kuna wazee wa matukio ambao wamejipanga kwenda kuwaliza masista duu na mabrazameni ambao watajisahau na simu zao za touch screen kila saa wanabonyeza bonyeza na wale ambao kila saa wanajipiga picha ili waingie instagram.
Pia kuna wale ambao wakilewa waanza kutukana wenzao au kufanya fujo mara kurusha chupa ovyo na hata kusababisha majeraha kwa wengine.
Pia kuna wale ma perverts ambao wana washika shika hovyo nyeti zao madada wa watu.
Kingine kule sometimes naenda kujipa stress tu, unakuta mwenyewe nimejipanga nimepiga All-stars yangu flan black ambayo ni worn-out na jeans langu flan mpauko limechoka kiaina na tshrt yangu moja black ila imeanza kufubaa shingoni, mfukoni nina buku 30 kamili af kwanza sina hata ndinga kwaio tokea huku kwetu mabwe pande nakwea mabasi tu hadi nifike Leaders. Nalipia buku ten nabaki na kumi na kadhaa ivi baada ya kukata vinauli, halafu unaingia unakutana na watoto flan wakishua ma blazameni tu au wengine kama ma hafcast flan hivi wamekula mapensi tu na vest na sendo kali sana. Wanaendesha usafiri matata sana then wamekamata watoto wakali sana ambao hata mi mwenyewe sijawahi ota yani daah hadi nikiwachek af nikijicheck mi mwenyewe najihisi kama sijaoga hata yaani jinsi wanyamwezi wanavyoshine. Then inabidi nipige bia flani mbili za mawazo kwa time yenye interval ya masaa ma tatu (common difference 3hrs), hapo pia inabidi nishtue na ka kiepe flan ka kavu cha kukazia njaa halafu nianze kutenga za nauli mfuko mwingine kabisa ili nisiguse). Hapo kidogo kitu kinachobaki labda nnaweza kubahatika nkakutana na wana nkaliunga unga hata kwa kupiga donee ili nikamate bia nyingine au kama vipi nifanye mchakato wa kiroba ni-boost maana hapo unakuta hadi hao wasanii wa nje waanze kuperform ni usiku sana tayari.
Najikuta kiroba kimenipa mori halaf kuna mwanang nimekutana nae ana vindo kadhaa mfukoni tunaingia chimbo tuna blaze kwa sana tuna boost ma vibes then tunasogea kushangilia wasanii wanao perform. Najikuta wakati wasanii wageni wanaanza kuperform mi nshachoka balaa nasinzia tu natamani hata nisepe ila nanyuti mwanangu mmoja kaniambia amekuja na gari yake so inabidi nimsubiri hadi mwisho wa shoo au atapoamua yeye tusepe kusudi nidowee liftt.
Duuh, nikiwaza tabu zote hizi naona bora tu nikae kwenye kochi nakula ubwabwa nyumbani huku naangalia kwenye tv yetu yenye bonge la chogo na ponea yetu ni kwamba katika star times, Clouds tv sio chaneli ya kulipia.