Kwanini Serukamba hakutolewa bungeni?!

Kwanini Serukamba hakutolewa bungeni?!

Watu mnapenda kupotosha. Serukamba alitamka "SACK YOU" na haikuwa vile msemavyo ninyi!
 
Kwa sababu Spika haelewi kiingereza...labda kama angetukana kiswahili...!
 
Kitendo cha Spika kufumbia macho wabunge waporomosha matusi kwa upande wa chama tawala hivi sasa ni dhahiri ya kwamba kumbe lugha ya matusi bungeni ni sera mpya ya CCM.
 
Jamani mtu unaapofanyiwa maandalizi na chama chako kwa matumaini ya kutwaa Uwaziri Mkuu pindi bahati ikiwaangukia kurudi serikalini basi unalojukumu kubwa la kuwa mfano bora kila wakati; sasa unapoporomosha matusi mazito mazito ya nguoni mbele ya jamii hivi ndio inakuaje teeeena???????????
 
Jamani Spika anaelewa Kiingereza, duu!! Sema tu kwamba kwao ukijani umezidi mno hata katika mambo ambayo mtu huhitaji kuonyesha madudu kama hayo hadharani.

Kwa sababu Spika haelewi kiingereza...labda kama angetukana kiswahili...!
 
Hata yale matusi aliyotoa wenje kwa lugha ya kiingereza ni matamu sana kwenu.
 
Jamani Spika anaelewa Kiingereza, duu!! Sema tu kwamba kwao ukijani umezidi mno hata katika mambo ambayo mtu huhitaji kuonyesha madudu kama hayo hadharani.

wakitukana wa chadema ni sawa nayo huwa si matusi bali ni asali...poor you
 
Kitendo cha Spika kufumbia macho wabunge waporomosha matusi kwa upande wa chama tawala hivi sasa ni dhahiri ya kwamba kumbe lugha ya matusi bungeni ni sera mpya ya CCM.

vp kuhusu mstusi yaliyoporomoshwa na wabunge wa chadema
 
vp kuhusu mstusi yaliyoporomoshwa na wabunge wa chadema

bado spika na tahira wake hawezi kukwepa lawama kwa kushindwa kuchukua hakua hata hivyo tuwekee tusi alilotukana wenje na maana yake ili tuelewe wengi ulimwelewaje...
 
Mkuu 'Bungeni' hebu katuwekee hapa video clip ya mbunge yeyote wa upinzani uliyemsikia na kumrekodi akimwaga matusi kama Nkamia au Mzee Seru kule Dodoma.

vp kuhusu mstusi yaliyoporomoshwa na wabunge wa chadema
 
Serukamba hakutolewa bungeni kwasababu matusi ni njia pekee iliyobaki kuinusuru ccm dhidi ya watetezi wa wanyonge.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kaka hiyo ndo Democracy ya Bongo!Mbunge wa CCM ana haki ya kusema lolote ili mradi haipingi sirikali yake, kwa Makinda na Ndugai, na hata washirika wao wote, MATUSI ni kuikosoa serikali au ccm wazizi. Ndo maana akisimama mpinzani bungeni masikio yao husubiri kusikia ukosoaji wowote dhidi ya Chama Chenye Madaraka au serikali, na hapohapo kwa kutumia vifungu visivyomaanisha, kumtaka mbunge afute kauli au atolewe nje ya ukumbu! sababu? ... Wanajua akiendelea kusema ataweka wazi maovu wasiyotaka yawekwe wazi!!
 
Sheria zote zinazo tungwa na spika na manaibu wake,lengo ni kuzitumia kwa chadema ili kuwa dhibiti bungeni,akitukana mbunge wa ccm,sio tusi bali ni pongezitu,na harufu nzuuuuuriiiiiiiii kwa spika,
 
..the end will always justfy the means..hawana jinsi zaidi ya suppression,kuwanyamazisha wazalendo wanaopigania umma wa wanyonge na masikini wa kutupa kwa maslahi yao,familia zao,kwa uchache wao na chama chao,ukomboz u karibu for, no easy way to liberation,equality n true democracy..MAY ALMIGHTY GOD HAVE MERCY ON THE POOR MAJORITY OF TANZANIA
 
mcheza kwao hutunzwa.Na bunge linaongozwa kwa sheria zitokazo nje ya bunge kwajili ya kuchokoza ipande mwingine ili watumie jazba na wawajibishwe wao.
 
Nilichogundua lile Bunge hata ukichukua mlevi anaweza kuliongoza vizuri sana kuliko Makinda na Ndugayi
 
Ndugu yangu, wapo watu wengine walipewa tu ubunge hata hawahusiki wala hawakustahili kivile. Cheki waliomo:-
- Wapo pia waimba kwaya tu,
- wamo waganga wa kienyeji tu,
- wamo watukanaji wazuri tu kama huyu,
- wapo wazinzi (kumbuka kule Ziba - Igunga walikofumaniana),
- wapo majambazi wanaohutubia mikutano ya hadhara na silaha nje nje viunoni mwao,
- wapo wezi wa mataulo ya gesti,
- wamo makahaba na wezi wa wake/waume za watu,
- wapo wala rushwa bila aibu (tena hawa ni wengi tu),
- wamo wasinziaji wazuri tu, naskia wanalala bila kukoroma mjengoni. Ukikoroma unakuwa umevunja kanuni!
Kwa mchanyanto huu, hatuwezi kujadili issue serious za kitaifa. Wao kazi yao ni kukuondoeni kwenye mjadala wa issue nzito kwa kuchomeka jambo linaloudhi tu.
Mkuu kwa kutia chachandu ungewataja vinara wa hizo sifa tuweze kuwafuatilia na yasemwayo
 
Mkuu kwa kutia chachandu ungewataja vinara wa hizo sifa tuweze kuwafuatilia na yasemwayo
Komba, Prof Water Matall, Serukamba, Lameck Madelu, Rage, Mwanjelwa, Mwigulu, Beduweli, Wasira, respectively to mention a very few. Wengine utapewa humu humu, you just stay tuned. Na kuna wengine ni intersection of more than one set (ukikumbuka hesabu za Seti shuleni), yaani wanasifa zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom