Kwanini Serukamba hakutolewa bungeni?!

Kwanini Serukamba hakutolewa bungeni?!

Bunge letu limefika mahala ambapo sisi tuliowachagua tunaona ni bora kabisa hao waliotukana wasirudi kugombea majimboni mwao ili liwe funzo kwa hawa ambao mara nyingi wamekuwa wakijifanya "watakatifu" kwa kujiita waheshimiwa nk. Leo tujikumbushe:

Juma Nkamia "...Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa..." HAKUTOLEWA BUNGENI
Peter Serukamba "... come on f u c k you..." HAKUTOLEWA BUNGENI
Livingstone Lusinde, ".wabunge wa Chadema humu ndani wana mimba zisizotarajiwa..." HAKUTOLEWA BUNGENI

Tindu Lissu, "..Mh Naibu Spika naomba muongozo.." ALITOLEWA BUNGENI KWA KUOMBA MIONGOZO MARA KWA MARA AKAPEWA ADHABU YA KUTOHUDHURIA VIKAO KWA SIKU TANO.

UHALALI WA BUNGE HILI KUJIITWA BUNGE TUKUFU UKO WAPI.....???!!!

Weka wabunge wengine waliotuka na hawakutolewa Bungeni unaowakumbuka.
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania.
 
"Halima mdee anacheza mbwa kachoka" ...... Jina simkumbuki

"CDM Mmebug meeeeen!!!!" Aden Rage
 
Mimi binafsi nimemchukia serukamba na matusi yake pia. nafikiri naibu kachemka ila anajifanya zuzu tu. maana niliangalia hata hajajigusa lakini narudi upande wa pili MBONA HAKUNA MBUNGE ALIEVALIA NJUGA TUSI HILOO
 
Lol! inabidi nicheke hata kabla ya kukoment!! JF hebu naomba tuelezwe maana ya na matumizi Ya Fak u? nahisi wakati mwingine hakuna tofauti na jinsi ilivyotafsiliwa neno '''Impotenti'' Angalizo ni sentensi kama hizi ambayo neno 'Fak u' limetumika! I dont give a f**k or dont F**k with me!!!! au ndo mnagoma na kung'ang'ania maana moja ya tafsili ya hilo neno kiswahili kama CCM wanavyolalamika?........ Ila jamaa ilimtoka KAVU KAVU.... nadani ya KIJIWE aka bunge!!! nomaaaa!

Usijaribu kupotosha watu hapa. Kweli neno fuc u linaweza kutumika kwa maana tofauti lakini neno C'mon fuc u haliwezi kutumika kama unavyotaka watu waamini sio tusi. serukamba alitukana na alidhamiria kutukana tusi. Kama unabisha toa maana ya maneno aliyoyasema serukamba
 
Hata yale matusi aliyotoa wenje kwa lugha ya kiingereza ni matamu sana kwenu.

Tusi gani alilotoa Wenje? Liandike hapa na uandike maana yake na pia uandike kwa uelewa wako uliliewaje hilo neno. Inawezekana umesikia kwa watu na haukufuatilia ndio unaandika hapa.
 
Usijaribu kupotosha watu hapa. Kweli neno fuc u linaweza kutumika kwa maana tofauti lakini neno C'mon fuc u haliwezi kutumika kama unavyotaka watu waamini sio tusi. serukamba alitukana na alidhamiria kutukana tusi. Kama unabisha toa maana ya maneno aliyoyasema serukamba

Mkuu sihitaji kutoa somo zaidi hapa, kwani naamini hata nikisema kwa kiswahili kuwa '' jamaa mshenzi sana yule hataki mambo ya kijingajinga" huenda ukatafsili kuwa nimemtukana!! Jipange na soma vzr post yangu ilikuwa ina maanisha nini!!!
 
we umekosa chakusema! Io mada isha expire cku nyingi 2! Kila cku serukamba!ayo yameshaisha na spika aliipotezea so hauna jipya! Et hii mada nayo imepata wachangiaji?
 
Back
Top Bottom