Kwanini Serikali ya Rais Magufuli imeamua kuwanyonya wananchi wake kuhusu leseni za biashara?

Niko kwenye Biashara ya duka la dawa za KILIMO name MIFUGO huko haki ya nani usiombe! Mara unaombwa leseni ya TFDA, TPRI, TOSCI, VETERINARY COUNCIL, Manispaa, TRA,
Hapo ni hatari ndugu taasisi zote hizo zinachukua mzigo duh!
 
Nadhani vijana wengi watakuwa wanaogopa kufungua biashara coz ya hzo tozo kibao yaan kama unawafanyia biashara wao...this is not fair kwa kwel
 
Back
Top Bottom