Kwanini Serikali ya Rais Magufuli imeamua kuwanyonya wananchi wake kuhusu leseni za biashara?

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
10,188
Points
2,000

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
10,188 2,000
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?

Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
 
swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,662
Points
2,000

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,662 2,000
Kwani ulikuwa wapi.kumbuka biashara nyingi zomefungwa na jana wafanya biashara walikuwa wanamsanifu tu ukweli wanaujua

Swissme
 
yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
6,030
Points
2,000

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
6,030 2,000
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?

Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
Tatizo ni ninyi wananchi mnakubali kila kitu
 
Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,624
Points
2,000

Cowman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,624 2,000
Kuna mtu ana leseni ya mwaka 1998 hajawahi renew hadi leo. Nadhani utaratibu ulibadilishwa kuanzia 2000's ndio watu wakaanza kurenew na pia kuweka penalties kwa wale wanaochelewa kurenew. Ofcourse mwaka huu viwango vimekua juu sana
 
ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Messages
1,814
Points
2,000

ubongokid

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2017
1,814 2,000
Uko sahihi kabisa,mimi niliwashauri waondoe leseni za mwaka kwa mwaka na badala yake watoze zile service levy ambayo inaweza kuwa 1%ya kodi unayolipa TRA au hata chini ya hapo ili watu waweze kulipa kwa uhuru na kwa hiyari,Tatizo serikali hii haishauriki mpaka watukwane ndio wanaanza kuelewa
 
eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
10,188
Points
2,000

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
10,188 2,000
Kuna mtu ana leseni ya mwaka 1998 hajawahi renew hadi leo. Nadhani utaratibu ulibadilishwa kuanzia 2000's ndio watu wakaanza kurenew na pia kuweka penalties kwa wale wanaochelewa kurenew. Ofcourse mwaka huu viwango vimekua juu sana
Ndio iwe kila mwaka mkuu huku si kurudishana nyuma
Kodi tulipe kila mwaka na leseni ya biashara nayo kila mwaka? Hili liangaliwe upya linawanyonya sana raia
 
eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
10,188
Points
2,000

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
10,188 2,000
Uko sahihi kabisa,mimi niliwashauri waondoe leseni za mwaka kwa mwaka na badala yake watoze zile service levy ambayo inaweza kuwa 1%ya kodi unayolipa TRA au hata chini ya hapo ili watu waweze kulipa kwa uhuru na kwa hiyari,Tatizo serikali hii haishauriki mpaka watukwane ndio wanaanza kuelewa
Kwa kweli wanaturudisha nyuma sisi wafanya biashara
 
m2kutu

Senior Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
126
Points
225

m2kutu

Senior Member
Joined Apr 5, 2014
126 225
Hili swala la leseni lilshawashi kunikuta kipindi fulani..

Katika harakati za kutaka kurasimisha biashara yangu fulani hivi, nilianzia halmashauri wakanipa fomu nikajaza kisha nikaenda TRA nikapata TIN bila usumbufu wowote nikapewa na clearance.

Nikarudi halmashaur wakanifanyia makadirio ya kama 120k nikalipa kisha wakanipa tarehe ya kuchukua leseni.

Siku niliyofuata leseni yangu sikuamini kilichotokea, nilipofika nikakabidhiwa faili langu akapewa afisa biashara mmoja mwenye roho mbaya sana akaangalia kisha akaniambia hela niliyolipa ni ndogo sana inatakiwa nilipe 300k mpaka wenzake wakaanza kumshangaa kwa kuwa ndiye mkuu wa kitengo wakanyamaza, kisha wakanitolea invoice nyingine ya 180 nikalipe ukiangalia biashara yenyewe hainden kabisa na lesen ya 300k

Nilichofanya sikurud tena ofisin kwao, sitokata tena leseni na sitolipa tena kodi TRA. Nalipia tu vibali basi isitoshe ukaguzi wenyewe mara moja kwa mwaka.

Serikali isipowaangalia watumishi wa TRA pamoja na maafisa biashara watakosa mapato mengi sana na kuongeza chuki baina ya wafanyabiashara na serikali.

Kibaya zaidi ukilalamika unaambiwa "HAPA KAZI TU"
 
Mkuu inauma sana unachokiongea kinawakuta wengi mno hivi sasa
Sijui tutakomoana mpaka lini katika utawala huu
 
makinikia halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
559
Points
1,000

makinikia halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
559 1,000

Kazi zenyewe ndo hizo za bomoa na kuvuruga kila kona hadi watu waishi kama mashetani.
 
makinikia halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
559
Points
1,000

makinikia halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
559 1,000
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?

Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
Mkutano wa Jana ikulu, wafanyabiashara walienda tu kutalii na kutapa lunch kwa kodi zao, hawakuwa na lamaana la kuzungumza zaidi ya kumwagia sifa.
Wangelikuwa huru hakuna kitekana wala visasi Jiwe akisikia/wangemshauri mengi na mazuri sana ya kuisadia Tz kufikia uchumi wa kati.
Lakini kwa sababu kuikosoa serikali na Sera zake ni kosa la jinai na kukosa uzalendo. Waliamua kufunika kombe mwanaharamu apite then business as usual.
 
eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
10,188
Points
2,000

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
10,188 2,000
Mkutano wa Jana ikulu, wafanyabiashara walienda tu kutalii na kutapa lunch kwa kodi zao, hawakuwa na lamaana la kuzungumza zaidi ya kumwagia sifa.
Wangelikuwa huru hakuna kitekana wala visasi Jiwe akisikia/wangemshauri mengi na mazuri sana ya kuisadia Tz kufikia uchumi wa kati.
Lakini kwa sababu kuikosoa serikali na Sera zake ni kosa la jinai na kukosa uzalendo. Waliamua kufunika kombe mwanaharamu apite then business as usual.
Ashaajiita ye ni jiwe sasa unategemea ashauriwe nani
Jiwe halisikii
 
NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,189
Points
2,000

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,189 2,000
Hili nitatizo ila sina hakika kama bwana mkubwa analijua hili..au manispaa zimekosa vyanzo vingine vya mapato?
Mkuu wa kaya sikia kilio cha wanyonge wako hawa
Kodi lukuki
1.service levy
2.lessen
3.TRA
4.narejesho ya bank/vikoba
5.Pesa Ulinzi shilikishi
6.Pesa ya Taka

Wakati mtaji jalisi million 2.
 
robhil mfwegekamo

Senior Member
Joined
Jan 10, 2018
Messages
156
Points
225

robhil mfwegekamo

Senior Member
Joined Jan 10, 2018
156 225
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka! Huku viwango vinavyowekwa na manispaa vikiwa viko juu kushinda wakati wote tofauti na tawala zilizopita
Sasa hivi sio jambo la kushangaza kumkuta mtu akilipia leseni ya biashara shilingi laki tatu kila mwaka na manispaa wakikukuta huna au hujalipia bado wanafunga biashara ya mhusika hili nimelishuhudia mara kadhaa kote nchini hasa Dar es salaam
Je rais wangu Magufuli umeamua kuwanyonya raia wako kupitia leseni za biashara kulipiwa kila mwaka?
Je hivi viwango mpaka laki tatu au laki mbili ni sawa kwa sisi raia wako tunaobangaiza?
Je kufungiwa biashara ndio suluhisho walilo nalo manispaa nchini kisa huna hela ya kulipa papo hapo?
Why leseni ya biashara ilipiwe kila mwaka ?

Rais sikia kilio hiki cha machozi ya damu kutoka kwa wananchi wako mtaani kuhusu kile wanachofanyiwa na manispaa zetu nchini Tanzania
manispaa hizihizi zimeweka na kodi nyingine inaitw service levy huu ni unyang'anyi wa machomacho kabisa lakini kwa sababu hatuna kwa kukimbilia basi tunajikongoja mpaka
magoti yanagusa chini.
 
Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
9,255
Points
2,000

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
9,255 2,000
Niko kwenye Biashara ya duka la dawa za KILIMO name MIFUGO huko haki ya nani usiombe! Mara unaombwa leseni ya TFDA, TPRI, TOSCI, VETERINARY COUNCIL, Manispaa, TRA,
 
Forum statistics

Threads 1,391,149
Members 528,375
Posts 34,074,820
Top