Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

Kwan rudhuku ya chama inaenda wapi au ndio kila operations ndio zinamaliza rudhuku
Pelekeni bodaboda kwa omba omba wa dodoma huko,wanaichoma watafiti eti kunyonywa damu.wasambazieni bendera za kijani ziwe mashuka ya kujifunika ucku.
 
Hiyo ni tafsiri yako ya kiukawa hapa tunaongea na ushahidi. Lete ushahidi wa huo uzushi wako.
Wasambazieni ombaomba wa dodoma pikipiki huko,sio kujipendekeza wkt hamtakiwi.wapeni bendera watumie kama mashuka ya kujifunika ucku.saidieni watu dodoma huko wasijechoma watafiti tena.mmewageuza kuwa ombaomba alafu mnawakimbia,dadeki!..
 
Hawa wa dodoma wakikumbwa na njaa wanachemsha magunzi ya mahindi na kitoweo chao ni viwavi jeshi , kwahiyo ccm imeamua kuwasambazia bendera za chama , ambazo usiku wanazitumia kama mashuka .
Hahahaa Dodoma wao ni kudanganywa kwa t-shirts na kofia tu zinatosha kuipa kura CCM zote.
 
Je! 6,000,000 waliopigia ukawa sio watanzania? Mbona mnawazuia kutoa shukurani?
 
Naimani dodoma wakichagua upinzani maendeleo yatakuja kama mvua. mifani ni mingi, Kigoma hakukuwa na barabara kwa miaka mingi, baada ya wapinzani kuchaguliwa awamu ilipita tuliona yaliyofanyika, Mbeya uwanja wa songwe ulikuwa unasuasua, baada ya upinzani ulikamilishwa, Mwanza kadhalika kipindi cha Upinzani, tutaona mengi Dar, Moshi.

kwa hiyo ukitaka maendeleo changua upinzani, simple
 
Kauli mbiu ya upinzani pesa yao kula, kura pigia upinzani . Ccm endeleen kugawa ikiwezekana kwa kila raia wa maeneo ya upinzani
 
Acha wagogo waendelee kutafuna viwavi jeshi kura za wagogo hazihitaji mjadala wale ni ccm inajulikana.
 
1. Chanzo cha fedha hizo ni nini?
2. Sababu za kugawa pikipiki arusha
3. Serukali imeshindwa kutoa ajira kwa vijana waliosoma inagwa bodaboda?

4. Lengo LA kugawa bodaboda ni lipi?

Kqa ujumla wake hii ni rushwa kubwa kutokea hapa nkoani arusha. Utasikia serikali inatamba eti inachukia rushwa.
Sio rushwa ni zawadi
 
Sisi Dodoma katika uchaguzi mkuu tuliwanyima kura kabisa wapinzani waliambuliwa udiwani tu kata mbili kura zote tuliwapa Chama tawala CCM lakini hatujapewa hata baiskeli lakini wanzetu wa Arusha hawajaichagua kabisa CCM si ubunge wala udiwani wala rais waliwanyima kura kabisa chama tawala juzi wamegawiwa pikipiki.

Hivi huu ndio ujinga au tuite jina gani? Mbaya kuliko zote wamesema hata mahindi ya njaa safari hii hawatupi!
 
Back
Top Bottom