Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

Tatizo la misukule wa ufipa ni wavivu wa kufuatilia habari yote, pia wana wivu uliopitiliza.

Wanaahidi alafu Wanakuja kuyapinga tena hayo mabadiliko kwa manufaa ya siasa zao uchwara.

Mnapinga maendeleo ya vijana wa Arusha ili iweje??

Shame on you ufipa boys

Hata Olesendeka akiona hii post yako atakudharau kwa utetezi huu.
 
Kuna mambo ambayo mtu anayetaka kufa hufanya. Kwa mfano mtu aliyezama akiona unyasi juu ya maji atashika huku akidhani ni gogo ambayo litamuokoa
 
Ni kama vile kwenye daladala ukishapanda tu thamani yako imekwisha, anabembelezwa yule ambaye bado hajapanda. Nyie mmeshapanda, na kushushwa ni mpaka kituoni, wenzenu wakitaka kupanda gari inasimama popote.
 
Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:

1: Watu waliopiga kura >> 104,353

2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,848

3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907

Kwa matokeo hayo niambie CCM imekufa Vipi Arusha? unataka kusema hao raia 35,000 waliompigia kura mgombea wa ccm sio wakazi wa arusha?
 
Hebu na wewe jiulize,

Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?

Quinine.
Hawa wa dodoma wakikumbwa na njaa wanachemsha magunzi ya mahindi na kitoweo chao ni viwavi jeshi , kwahiyo ccm imeamua kuwasambazia bendera za chama , ambazo usiku wanazitumia kama mashuka .
 
Tatizo la misukule wa ufipa ni wavivu wa kufuatilia habari yote, pia wana wivu uliopitiliza.

Wanaahidi alafu Wanakuja kuyapinga tena hayo mabadiliko kwa manufaa ya siasa zao uchwara.

Mnapinga maendeleo ya vijana wa Arusha ili iweje??

Shame on you ufipa boys
Wakati huohuo waliochagua ccm kwa mihemko ya ukabila na ukanda jana wamefurumushwa makoroboi kama nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto ! Hela za tetemeko kizungumkuti .
 
By -election is predicted. This are just prior preparations. But still i believe the people of Arusha are not that cheap.
 
hivi kwani zimetolewa bure tuwe wakweli ci wanaitaji wazamini kumi na mali isiyoamishika alafu nasikia elfu nane kwa siku ulipe ndani ya mwaka mmoja mbona inakuwa na riba au kwa maana mpya rahisi ukinunua cash nafikiri jana kampuni za pikipiki zilikuwa zinafanya maonyesho
 
Hiyo ni rushwa ya kuwarubuni ili trip ijayo wawape jimbo kweni huoni wanavyomfanyia lema I'll wamkwamishe kitu ambacho ni kigum sana watu wa Arusha watsmchagua lema hata akiwa gerezani .lkn wawaulize machinga wa mwanza walipewa maeneo baada is kuwapa ubunge juzi wavunjiwa vibanda vyao na kufukuzwa mjini unacheza na ccm wewe, lbd wale harafu wasepe.
 
Hebu na wewe jiulize,

Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?

Quinine.
Hv wapinzani wa nchi hii tunataka nini hasa? kilichotoa pikipiki pale Arusha kwani ni chama cha mapinduzi au serikali? Serikali ni ya wanachi wote wasio wana ccm na walio wana ccm.. Haya pia yangefanyika kwenye ngome ya ccm mngesema serikali inabagua wananchi.. Tusiwe tunapinga na kuhoji kila kitu... Nilichogundua watanzania walio kwenye vyama vya upinzani wanataka maendeleo ila hawataki yaletwe na ccm.. Tukiendelea na hii hali hatutafika kokote, tunawakatisha tamaa wale wenye dhati ya kuleta maendeleo kwa kupinga kila kinachofanywa... [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ni ya wote
 
Arusha sio wote ni ukawa tupowana ccm waaminifu ndo mana Tojo ndo diwani wetu
Kata ya Kati mmepewa Toyo nane chalii angu hazitoshi kununulia hata kilo kumi za gomba kwa dada Asia Mwenge
Naye diwani Tojo Ni mwaka wake wa mwisho hatutaki kirusi mjini
 
Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:

1: Watu waliopiga kura >> 104,353

2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,848

3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907

Kwa matokeo hayo niambie CCM imekufa Vipi Arusha? unataka kusema hao raia 35,000 waliompigia kura mgombea wa ccm sio wakazi wa arusha?
Madiwani 26
CCM. 1
CDM. 25
unataka ifeje?
 
Hebu na wewe jiulize,

Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?

Quinine.

...Wanatuma ujumbe mzito kwamba hata kama umenawa mikono yote miwili unaweza usile pia...
 
Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:

1: Watu waliopiga kura >> 104,353

2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,848

3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907

Kwa matokeo hayo niambie CCM imekufa Vipi Arusha? unataka kusema hao raia 35,000 waliompigia kura mgombea wa ccm sio wakazi wa arusha?
Ukitoa kura za wizi na za mikwara ya polisi zinabaki 1200 tu za Mollel.
 
Ukitaka ccm ikuheshimu ni kuvimba nayo tu, hakuna kuwaendekeza maccm ni kuwanyima kura wataweka akili kichwani, sasa na ninyi huko dodoma kaeni mkiiendekeza ccm wapeni sana kura na hampewi chochote
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom