Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

Sisi Dodoma katika uchaguzi mkuu tuliwanyima kura kabisa wapinzani waliambuliwa udiwani tu kata mbili kura zote tuliwapa Chama tawala CCM lakini hatujapewa hata baiskeli lakini wanzetu wa Arusha hawajaichagua kabisa CCM si ubunge wala udiwani wala rais waliwanyima kura kabisa chama tawala juzi wamegawiwa pikipiki.

Hivi huu ndio ujinga au tuite jina gani? Mbaya kuliko zote wamesema hata mahindi ya njaa safari hii hawatupi!

Kama mlichagua CCM ina maana hamkuwa na shida yoyote, kwa maneno mengine mliridhika na kila kitu chao. Arusha walikuwa na tatizo na CCM ndiyo maana walichagua upinzani...... kama njia ya kuwarudisha Arusha CCM imeona ni vyema wakaanza kushughulikia matatizo yaliyofanya wachague upinzani
 
We ushaonaga wapi shetani anahangaika na watenda dhambi!!!coz anajua wale tayar ni wake so lazma aanze kukomaa na watenda mema ili awaingize katka kundi lake la motoni......,,,,,,
Mkuu peter palla,umetumia mfano mgumu!!! Lakini hata hivyo ujumbe umefika. Kwa Lugha ya Malikia wanasema; " Message sent, and delivered".
 
Sisi Dodoma katika uchaguzi mkuu tuliwanyima kura kabisa wapinzani waliambuliwa udiwani tu kata mbili kura zote tuliwapa Chama tawala CCM lakini hatujapewa hata baiskeli lakini wanzetu wa Arusha hawajaichagua kabisa CCM si ubunge wala udiwani wala rais waliwanyima kura kabisa chama tawala juzi wamegawiwa pikipiki.

Hivi huu ndio ujinga au tuite jina gani? Mbaya kuliko zote wamesema hata mahindi ya njaa safari hii hawatupi!
Ukimaliza kuisoma namba, kale viwavi
 
Ushauri wangu tafuta lile sebene la CCM mbele kwa mbele uselebuke kama ulivyokuwa ukilicheka kile kipind cha kampain. Hii itakusaidia kupunguza machungu.
 
Arusha hakuna ccm kabisa, acha BAVICHA wachukue toyo ili ziwasaidie kumsindikiza mfalme wao Lema wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao.
 
Usilalamike chalii yetu nyie SI mlipewa kanga. Tshirt, na kapelo
Wameona ndio shida yenu hiyo
 
Dodoma msijali, tunawaletea ofisi zote za serikali!
Pm keshatangulia na huko ni mwendo wa vx pori!!
 
ndo mu
Sisi Dodoma katika uchaguzi mkuu tuliwanyima kura kabisa wapinzani waliambuliwa udiwani tu kata mbili kura zote tuliwapa Chama tawala CCM lakini hatujapewa hata baiskeli lakini wanzetu wa Arusha hawajaichagua kabisa CCM si ubunge wala udiwani wala rais waliwanyima kura kabisa chama tawala juzi wamegawiwa pikipiki.

Hivi huu ndio ujinga au tuite jina gani? Mbaya kuliko zote wamesema hata mahindi ya njaa safari hii hawatupi!
isome namba Arusha si wa kispot spot na hapo ni wanajitekenya na kucheka wenywewe sisi mutu ya arusha tunajitambua sana uzuri hatujipendekezi.
 
Back
Top Bottom