Kwanini Serikali imesamehe Shilingi Trilioni 424?

Nimeweka hapa ili tupeane ufafanuzi. Kiasi tajwa ilikuwa ni thamani ya madini au kodi ambayo serikali ilipaswa kulipwa kwa kikokotoo cha thamani halisi ya madini yaliyomo ndani ya makinikia hayo.
 
..waliokubali kuziachia usd 191 billion na badala yake kuchukua usd 300 million ni MAFISADI, na WASALITI.

..haiwezekani tutangaziwe VITA YA KIUCHUMI dhidi ya makampuni ya madini halafu vita hiyo inamalizika kwa Tz kupata less than 1% ya tunachokidai.
 

..Kikwete aliweza kuwakamua usd 700 million bila makelele.

..na waTz wamekuwa wakiajiriwa kwenye makampuni yanayochimba madini.

..umemsahau Deo Mwanyika alikuwa na wadhifa gani ktk accacia / barrick?

..hata waziri kalemani aliwahi kuajiriwa na moja ya makampuni ya uchimbaji madini.
 

Vita vya uchumi halafu wamesarenda!

Yaani ni sawa na Unamdai mtu Tembo anakulipa Sungura halafu unatoka hapo unashangilia.
 
Mkuu swali la msingi ni kwamba, kwanini serikali ya wanyonge imeamua kusamehe hayo matrillion yote? ina maana serikali ilikua ina danganya?
 
Hakuna utafiti wowote walioufanya wakina prof. Mruma isipokuwa waliamua tu kutufanya wajinga kwa kuwa walijua tunaongozwa na washamba wasioweza kuchanganua mambo.

Ilikuwa ni aibu kusikiliza na kuikubali ripoti ya kiuendawazimu kama ile.
 
Huwezi jua kwa nini zimesamehewa...

Labda process na gharama za kuzidai inaweza gharimu mara mbili zaidi ya unachodai...


Cc: mahondaw
 
Mwalimu Kichuguu bado yupo kwenye denial

..kosa la kiufundi walilolifanya ni kujiaminisha kuwa accacia ni mashetani na barrick ni malaika.

..mkakati wa mabeberu ulikuwa ni accacia kutubinya kwa kutufungulia kesi ktk mahakama ya kimataifa, huku barrick wakitulaghai kwa kufanya mazungumzo na serikali.

..barrick ameweza kufanya mambo mawili dhidi yetu. Kwanza, amewachomoa minority share holders wa accacia kwa kuwalipa kiasi walichokitaka. Pili, ametulazimisha kuachana na madai ya usd 191 billion na kuzitupilia mbali ripoti za Prof.Mruma na Prof.Ossoro.

..Binafsi baada ya kusomwa ripoti zile, na mahasira na kujimwambafy alikoonyesha Jpm, ungeniambia matokeo yake yangekuwa haya ningekupiga makofi.

Cc Chige
 

Wanasema eti ugomvi wetu haukuwa na Barrick bali ACACIA, sasa cha ajabu Wezi wetu yaani ACACIA wameuza share zao zote kwa huyohuyo Barrick aliyekuwa na hisa nyingi humohumo ndani ya ACACIA, Shareholders waliobaki wamepata mipesa yao bila sisi kutulipa Trilion zetu zote! Kisha wametambaa!
 
Wezako walivofikia kuua tundu lisu hawakua wajinga,(miga miga miga migaaaaaaaaa
 
Hizo pesa kuna uwezekano zimetiwa katika akaunti za fisiemu ili ziwafae katika chaguzi hii na ile... hivi management ya Twiga na Akashia ziko tofauti?
 
TIA = THIS IS AFRICA
 
Hizo ni ndoto...
 
na tutambue kuwa hii kesi in a long term tutaathirika mno,maana wawekezaji wa madini wame I RED FLAG nchi yetu na tumo namba 2 kutoka chini kwa nchi ambazo ni HIGH RISK KUWEKEZA KWENYE NYANJA HII YA MADINI.
Uongo
 
umetoa ufafanuzi mzuri..
unachotakiwa kuelewa hizo nyingine ni siasa za udaku... kama hawakulipa hayo ma trilions wamerekebisha shares ni all the same.

tutapata more trilionz kwa 16%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ