Kuna shida gani hapa kwanini haziishi na pesa nyingi imetumika ona mfano hizi
Hii into the badlands haieleweki kabisa mwishoni nini kinatafutwa alafu watu waliokufa wanaonekana tena
INAMANA jamaa director wao hawajui ni beginner au ?
The Equalizer
Into the badlands
Revolution
Poppss house
Lopez
The strain
Na nyingine nyingi