Kwanini Saudi Arabia?


Hakuna UTAWALA wa SHERIA Saudi Arabia. Wenye nchi kule ni wale waliojimilikisha uongozi wa milele. Na hawa madikteta waliokimbilia huko waliamini kuwa ni viongozi wa nchi zao milele. JK naye ana mwelekeo huo, it's just matter of muda tu naye atakimbilia huko.
 
Mfalme wa Saudia yeye huenda atakimbilia kati ya nchi hizi mbili Afghanistan ama Pakistan, si unajua hata yule kinara wa ugaidi raia wa Saudia naye yuko kati ya Afghanistan na Pakistan.

mimi nadhani hata diktetea wa ivory cost atakimbilia huko
 
Tafuta kitabuConfessions of an Economic Hit Man by John Perkins utapata jibu la swali lako na pengine mengine yanayohusiana na hayo.
 
Tafuta kitabuConfessions of an Economic Hit Man by John Perkins utapata jibu la swali lako na pengine mengine yanayohusiana na hayo.


Tuandikie summary basi ya kile unachokielewa kutokana na kile kitabu, itakuwa vema
 
Sababu zinazowapelekea kukimbilia Saudia ni za kiimani. Nadhani wanatambua makosa yao na kuona hakuna kwingine kwa kukimbilia na kuomba toba isipokuwa kwenye miji mitukufu ya Maka na Madina. Inshallah, Mungu atawasamehe makosa yao.
 
Sijali atakwenda wapi but I wish aachie nchi hata leo naamini nchi imemshinda ndio maana yuko kama hayopo. Ni tatizo iwapo kiongozi mkubwa wa nchi watu wako hawa-feel uwepo wako, it means even if you die none will ever remeber you, SAD
 


Mkuu umesahau huyu Obote na Nyerere ni walele, ndi maana akakaribishwa Bongo. Umesahau tulivyolishwa unga wa ndele na siasa za chuki juu ya Idd Amini? Hebu kawaulize Waganda wenyewe kuwa Idd Amini alikuwaje, watakuambia. Dikteta ni vile wakubwa wanavyokudefine, mfano Gadaf alikuwa dikteta lkn baada ya kuwa kibaraka wa Marekani amegeuka kuhubiriwa kama rais wa mfano kwa bara la Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…