Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Tangu lini simu kuwa na removable sd card ni basic feature? Hivi kwa mfano nawezaje kukosa cloud access?
Kwanza huelewi tofauti ya "removable sd card" na sd card slot. Hiyo tu inaonyesha usivyojua unachoandika hapa.

Unawezaje kukosa cloud access? Hilo si swali. Swali ni unawezaje kuwa na internet muda wote?

Mimi nimefanya kazi katika Internet Service Provider na nakaa katika one of the most connected cities in the world na nina unlimited internet access kwenye simu yangu, lakini siwezi kusema nina access ya internet muda wote kutoka katika simu yangu.

Kuna wakati unakuwa out of network, unakuwa kwenye majumba makubwa deep inside coverage weak, unakuwa underground kwenye train, unakuwa unasafiri sehemu ambazo hazina network.

Sasa huko ukitaka cloud access utapataje?
 
Utoe battery ili iweje?
Swali hili linaonyesha jinsi usivyojua mambo ya simu.

Kuna sababu nyingi za kutoa battery.

1. Battery yako ikiharibika, ukiwa na simu yenye removable battery unaweza kununua battery nyingine ukabadilisha mwenyewe. Ukiwa na simu isiyo na removable battery battery ikiwa na tatizo inabidi utume simu kwa fundi/ dealer etc.

2. Ukiwa power user usiyetaka kuwa stranded unaweza kuwa na batteries za ziada. Ukiwa sehemu umeishiwa charge na huwezi ku charge unabadilisha battery tu. Nina batteries nne. Siwezi kuishiwa battery.

Ila kwa sababu wewe si power user, mambo kama haya huyajui na umuhimu wa removable battery huwezi kuuona.

Kimsingi kampuni ya simu ikikupa simu ambayo haina removable battery inakuambia "hatuamini kwamba una akili ya kutoa battery, tukikupa removable battery utaiharibu simu". Na wewe kwa kukubali simu isiyo na removable battery umekubali kufanywa mjinga na Apple.

Simu ikiharibika battery uwatumie waku charge kwa kitu kidogo tu ambacho ungeweza kutengeneza mwenyewe.
 
Alaa, kumbe, sasa we hujui kuwa mpaka ununue iPhone lazima uwe unajiweza kifedha na ndo maana ukitembea kitaa si kila mtu utamuona amebeba iPhone ila kama ni Tecno utakutana nao kibao tu, sasa kama una uwezo wa kununua iPhone unaanzaje kuogopa gharama za kubadilishia battery tu?

Ukiwa na battery za ziada una tofauti gani na mtu aliyebeba power bank?

Hayo ni mawazo yako tu mkuu, hakuna kampuni yoyote ya simu yenye mwazo kama yako kuwa unapowekewa non removable ni kuwa hawakuamini kuwa una akili ya kutoa battery, unless hujui maana ya unibody phone
 
Wewe limbukeni unalimbuka.

Simu ndiyo uwezo wa fedha? Labda kama umezoea umasikini. Mbona simu tunanunulia ndugu na kuwapa zawadi tu regardless ya uwezo wao?

Hata concept nzima ya open / closed platform huelewi.

Kuna watu hawataki kuwa mbali na simu zao hata kwa dakika chache if they can help it. Wana "Do It Yourself" philosophy towards life. Sasa mtu kama huyo akitaka simu iliyo na removabke batteries kwa sababu za kifalsafa guluguja kama wewe usiye uti wa mgongo wala ubongo utakachoona ni suala la gharama tu.
 
Kwanza huelewi yofauti ya "removabke sd card" na sd card slot. Hiyo tu inaonyesha usivyojua unachoandika hapa.
Ha ha ha ha ha haaaaaaaah! Sasa mkuu removable sd card si ndo inakaa kwenye hiyo sd card slot!?
Unawezaje kukosa cloud access? Hilo si swali. Swali ni unawezaje kuwa na internet muda wote?

Mimi nimefanya kazi katika Internet Service Provider na nakaa katika one of the most connected cities in the world na nina unlimited internet access kwenye simu yangu, lakini siwezi kusema nina access ya internet muda wote kutoka katika simu yangu.

Kuna wakati unakuwa out of network, unakuwa kwenye majumba makubwa deep inside coverage weak, unakuwa underground kwenye train, unakuwa unasafiri sehemu ambazo hazina network.

Sasa huko ukitaka cloud access utapataje?
Naona ni mwendo wa kujitapa uonekane umeishi majiji mengi kuliko wengine! Haya sawa, pamoja kuwa hata kama umeishi majiji yote duniani na kuna kipindi ulikosa internet access, si ni wewe tu ndo ulikosa kwani ni mji mzima walikosa? kama kuna kipindi unakosa internet access usidhani ni changamoto ya kila mtu
 
Ha ha ha ha ha haaaaaaaah! Sasa mkuu removable sd card si ndo inakaa kwenye hiyo sd card slot!?

Naona ni mwendo wa kujitapa uonekane umeishi majiji mengi kuliko wengine! Haya sawa, pamoja kuwa hata kama umeishi majiji yote duniani na kuna kipindi ulikosa internet access, si ni wewe tu ndo ulikosa kwani ni mji mzima walikosa? kama kuna kipindi unakosa internet access usidhani ni changamoto ya kila mtu
Wewe una matatizo ya kuelewa au una ubishi wa jadi.

Inawezekana kabisa una vyote.

Kitu gani ambacho kigumu kuelewa hapo?

Nimekueleza kwamba naishi kwenye one of the most connected cities in the world kukuonesha kwamba tatizo la kukosa mtandao nyakati fulani si tatizo la nchi masikini tu zisizo ma mtandao, unaweza kukosa mtandao nchi yoyote.

Na ukikosa mtandao huwezi kuwa na access na cloud.

Au unatumia cloud ya mabua unaibeba kichwani kwenye tenga?
 
Wewe limbukeni unalimbuka.

Hata concept nzima ya open / closed platform huelewi.

Kuna watu hawataki kuwa mbali na simu zao hata kwa dakika chache if they can help it. Wana "Do It Yourself" philosophy towards life. Sasa mtu kama huyo akitaka simu iliyo na removabke batteries kwa sababu za kifalsafa guluguja kama wewe usiye uti wa mgongo wala ubongo utakachoona ni suala la gharama tu.
Nilijua utafika huku kwenye matusi kwa sababu nilijua utaishiwa facts na kuhamia kwenye matusi. Hebu kama hujaishiwa facts nijibu kiusahihi vinginevyo kaa kimya maana ni busara kuliko mwisho wa siku uje unitukanie mzazi wangu
 
Wewe hujanijibu.

Ukiwa huna internet access cloud utaifikia vipi?

Au unasema tu "cloud" bila kuelewa cloud ni nini?
 
Wewe una matatizo ya kuelewa au una ubishi wa jadi.

Inawezekana kabisa una vyote.

Kitu gani ambacho kigumu kuelewa hapo?

Nimekueleza kwamba naishi kwenye one of the most connected cities in the world kukuonesha kwamba tatizo la kukosa mtandao nyakati fulani si tatizo la nchi masikini tu zisizo ma mtandao, unaweza kukosa mtandao nchi yoyote.

Na ukikosa mtandao huwezi kuwa na access na cloud.

Au unatumia cloud ya mabua unaibeba kichwani kwenye tenga?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, mkuu ngoja ninyooshe mikono juu nikuachie hapa
 
Samsung wanayo tizen OS ambayo ni opensource lakini hivi karibuni hii wiki imebainika kuwa smart tv na saa za samsung zinazotumia tizen zina security flaws kubwa, japokuwa wana mpango wa kuifanya tizen kutumika kwa karibu bidhaa zao zote na kuna samsung mil 10 ambazo zinatumia tizen. nadhani ndio sababu inayowafanya kuchelewa,
Samsung’s TV and watch OS is reportedly full of security holes
 
Unanyoosha mikono juu kwa sababu huwezi kujibu hoja.
Nimekupa ushindi mkuu, wewe ni genius siwezi kujilinganisha na wewe, maana mi sijawahi hata kuishi majiji mengi kama wewe, hata siwezi kukujibu kwa sababu sielewi kitu chochote si unajua mi ni limbukeni mkuu, kwa hiyo nimekupigia saluti mkuu. Hata hii comment naomba usiniqoute kabisa maana unazidi kuniaibisha kwa watu watanicheka sana kwenye jukwaa hili
 
Wewe unaniquote mimi halafu unaomba mimi nisi ku quote wewe?

Kwa nini wewe usiache kuni quote mimi kama kweli hutaki kuendeleza majibizano na mimi?

Unazidi kujionyesha upeo wako ulipoishia.
 
Wewe hujanijibu.

Ukiwa huna internet access cloud utaifikia vipi?

Au unasema tu "cloud" bila kuelewa cloud ni nini?
Hivi unatakiwa ku-access cloud wakati wote?
Wengine wanatumia cloud kama kustore documents muhimu. Ambazo hata akikaa mwezi mzima bila kuaccess sio ishu kwake.
Na pia kuna watu wanatumia simu kama productivity device na sio kwa ajili ya michezo. Kwahiyo sikushangai unapomshangaa mtu asiebeba vitu vingi kama wewe.
Binafsi natumia simu kwa basic stuffs tu. Kama nataka kuweka vitu vingi vitakuwa kwenye PC au Server ndogo ya home.
Ila kutembea na battery 4, SD Card 10 ni utumwa. Na kuna wanaokaa siku mbili bila kuchaji simu na wengine wanakaa masaa matano na chaji ya simu. It's all about matumizi.
Utakuaje mtumwa wa simu? Kazi ya PC ni nini sasa?
 
Wewe unaniquote mimi halafu unaomba mimi nisi ku quote wewe?

Kwa nini wewe usiache kuni quote mimi kama kweli hutaki kuendeleza majibizano na mimi?

Unazidi kujionyesha upeo wako ulipoishia.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaah😀😀😀😀😀😀
 
mtaendelea kukopi mpaka mnyooke.....hii..dunia ni.kutumia hela..kwenye research....
 
Kwenye masuala ya specs ni kawaida ya Apple devices kuachwa mbali na kampuni nyingine lakini kwenye perfomance wise hakuna kifaa chochote ambacho hizipita devices za Apple, ndo maana watu wa productivity huwa wanaangalia hardware na software specs lakini mwisho wa siku lazima arudi kuangalia na kufanya perfomance comparison ya hizo devices, kama sipo sahihi nipo tayari kusahihishwa
Mkuu...

Nakubaliana na wewe kwamba Apple alikua vizuri kwenye performance hasa kwenye Macbook Pro with/without retina display.

Lakini kwa sasa Notebooks nyingi zinamzidi performance... Mfano Asus Zenbook UX305,Dell Xps 13,Microsoft Surface book,Samsung Notebook 7 Spin na Razor Blade.

Below ni sehemu ndogo ya review iliyofanywa na TechRadar kuhusu Samsung Notebook 7 Spin perfomance.

Simply put, the Notebook 7 Spin is one of the best values we've seen in a 15-inch laptop. To really rub it in, the albeit shinier, sharper MacBook Pro would cost nearly three times as much to offer a Core i7 processor, match the amount RAM offered by Samsung and achieve comparable graphics performance.

Pia kuzidiwa kwa Specs nyingi ndio kuzidiwa kwa performance... Naamini Specs zina determine performance ya kitu.

Macbook zilikua hazishikiki kipindi cha nyuma lakini Notebooks hazikamatiki kipindi hiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom