Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?
Maana kuna jamaa anayo hapa mi nikajua kopi lakini nimejaribu kuicheki camera iko poa,mzigo inapiga vizuri tu.
Mimi ninavyofahamu iphone ipo katika version ya ios hili limekaaje?
Je ili nijue iphone 6 plus kama nikopi nitaitambua vipi?
Huwa zinagoma icloud
 
inategemea na what type of a user you are, mimi ni heavy internet user, most of the times na stream, either movies, series au youtube, pia ni mtu wa kudownload sana kama vile games na software, ninarun multiple software at once, mfano naweza nikawa na excel docs kama 5 zipo wazi, word docs, na other software zikiwa zinarun, then mimi kwa mwezi labda mara moja tu ndo laptop inazimwa tena iishe chaji, otherwise nikiwa sina kazi naifunga tu
Tatzo lako utakua lazy katika kuupdate....kwa windows 8.1 hadi 10 zipo very stable. Achana na ma antivirus ya kununua haya tumia windows defender....ni mwaka wa pili huu nna windows 10 na hainisumbui...
 
you can use the same ios or MacOs without updating to new version and remain stable..... What next when windows 10 fails? new update to keep it stable? pia my Lenovo was doing auto updates. unachotakiwa kufahamu ni kuwa Software na Hardware intergration in Apple's device ni best kuliko windows, hii kwa sababu Apple wanatengeza software kwa ajili ya hardware yao walio design wenyewe, Windows is another case, MS wanatengeza windows 10 lakini kila kampuni ina there own devices with different components from each other. MS wao watatengeza windows i run kwenye Intel powered devices mfano, other parts its upto you. So wewe km manufacturer utalazimika kutumia Intel processor, lakini the rest is your choice, na hapa ndipo penye matatizo.by the way windows defender haikuja juzi, ipo kitambo and it sucked, and company kama Mcafee ni serious company au Norton.
 
Kwenye kukatisha update za iOS nakataa,juzi hapa ndio wamekatisha update ya iOS 9.3 kwenda iOS 10 kwenye iphone 4s. Wakati iphone 4s ilizinduliwa mwaka 2011. Mfano samsung s2 iliyozinduliwa mwaka 2011 iliishia kwenye android 4.1 jell bean. Je ni nani anaekatisha update za simu zake haraka kati ya apple na android?
My point hapo, once you got the last update you are on the risk of having it as a museum piece. mfano whatsapp wakiforce new update, hutokuwa na uwezo wa ku update whatsapp yako, na ukishindwa it means huwez tena kutumia hio whatsapp. Your best bet ni apps unazotumia kila wakati zisiombe update ya lazima. Case ya Samsung ni nyengine, Android hawana authority nayo, wenyewe ni google, wao ndio wanatoa updates za android na kuifanya irun in certain specs, sasa samsung hana budi ni kuiacha tu tena. Namkuta mtu ana s1 lakini anatumia whatsapp, nilipewa iphone 3gs niiweke whatsapp, whatsapp inataka new version na simu haiwezi kuwa updated tena, nimehangaikia kuweka whitedoor, pia ilinigomea, nikamrudishia mwenyewe. Apple watakufanya uitupe tu simu yako ya zamani na uhamie mpya ni wajanja sana.
 
Uyo aliekupa hiyo simu anachekesha kweli,yani simu ya 2009 anailazimisha iwe na whatsapp? Samsung S inatumia android 2.1 ambayo imesimamisha whatsapp na instagram na baadhi ya apps nyingi tu.
 
Uyo aliekupa hiyo simu anachekesha kweli,yani simu ya 2009 anailazimisha iwe na whatsapp? Samsung S inatumia android 2.1 ambayo imesimamisha whatsapp na instagram na baadhi ya apps nyingi tu.
Mbona kama ipo hio Whatsapp kwa android 2.1? (mi simtumiaji wa android)
 
Zunguka na hizo memory zako lakini iPhone is best phone ever!..
This is a subjective statement.

Kwa mtu anayetaka tochi simu ikiwa haina feature nyingi lakini ina tochi tu hiyo ni best phone ever.

Kama unataka kuwa objective, simu nzuri ni lazima ikupe control kwenye storage options.

Wewe hata hujui kwamba umefungiwa zizini kama ng'ombe na Apple.

Halafu unasifia jinsi ulivyofungiwa.
 
you can use the same ios or MacOs without updating to new version and remain stable..... What next when windows 10 fails? new update to keep it stable? pia my Lenovo was doing auto updates. unachotakiwa kufahamu ni kuwa Software na Hardware intergration in Apple's device ni best kuliko windows, hii kwa sababu Apple wanatengeza software kwa ajili ya hardware yao walio design wenyewe, Windows is another case, MS wanatengeza windows 10 lakini kila kampuni ina there own devices with different components from each other. MS wao watatengeza windows i run kwenye Intel powered devices mfano, other parts its upto you. So wewe km manufacturer utalazimika kutumia Intel processor, lakini the rest is your choice, na hapa ndipo penye matatizo.by the way windows defender haikuja juzi, ipo kitambo and it sucked, and company kama Mcafee ni serious company au Norton.
mkuu nafkiri hili la hardware integration Microsoft wapo juu sasa hivi, wamefanya kazi pamoja na intel kwa generation kama tatu sasa hivi kuna vitu kibao vipo kwenye windows au windows inavifanya vizuri zaidi vitu kama directx 12, intel speedshift etc, tunaishi katika ulimwengu ambao pc za windows ambazo ni nyembamba na zenye nguvu zaidi zinakaa na chaji kuliko ,mac nene ambazo ni dhaifu, angalia pc kama dell xps 13, asus zenbook series, hp spectre series etc zamani ulikuwa ukitaka ultrabook inayokaa na chaji ni macbook tu ila sasa hivi kuna laptop hata 50 zinafika zinazoipita mac kila idara.

na nna uhakika hujatumia defender na windows 10 na ant virus ya zamani ya microsoft kwenye windows za zamani inaitwa microsoft security essential, hii defender ni mpya.unless wewe ni mfanyabiashara mwenye sensitive data huna haja ya kutumia zaidi ya defender na windows 10. 2017 mkuu bado unawataja mcafee na norton? atleast kidogo ungesema kina malware bytes na kaspesky kidogo wanaweza kufight zaidi ya virusi, malware mbali mbali ambao ni smart.

pia kwenye mac huna antvirus ila zikitokea vulnerability unafanyaje? mpaka updates? wakati pc una update tu ant virus database, nakumbuka zile loop za java watu wa mac walikoma sana sababu fate ya pc zao wote wanasubiria oracle aiupdate java.
 
Ila naona utofauti ni mdogo sana hata kama itakuwa copy mkuu maana inasoma 4g kama kawa internet iko poa pia basi jamaa ananiambia niyenyewe ila mimi nilishituka nilivyoona android version.
WaTu kama nyie humu Tech mmeletwa na nan???? Unaifananisha hyo clone na kitu cha apple!
 
Nadhani kuna kitu unatakiwa ujue. Kampuni za kiteknolojia zina sehemu mbili: Teknolojia na Biashara. Ukishindwa ku balance utapotea. MS kwa mfano alikuwa na Sera ya kuwa na closed System kwenye Softwares, sasa hivi anaelekea kwenye Open Source. Mfano .Net platform inakuwa Open Sourced taratibu.

Kwa hiyo kibiashara, sio siku zote ni kushindana. Bali unaangalia faida ipo wapi. Kwa logic yako itabidi Samsung waunde OS yao ya laptop. Na usiishie hapo bali hadi chips wategeneze wao. Haifanyi kazi hivyo!
Mbona apple wameweza?
 
mkuu nafkiri hili la hardware integration Microsoft wapo juu sasa hivi, wamefanya kazi pamoja na intel kwa generation kama tatu sasa hivi kuna vitu kibao vipo kwenye windows au windows inavifanya vizuri zaidi vitu kama directx 12, intel speedshift etc, tunaishi katika ulimwengu ambao pc za windows ambazo ni nyembamba na zenye nguvu zaidi zinakaa na chaji kuliko ,mac nene ambazo ni dhaifu, angalia pc kama dell xps 13, asus zenbook series, hp spectre series etc zamani ulikuwa ukitaka ultrabook inayokaa na chaji ni macbook tu ila sasa hivi kuna laptop hata 50 zinafika zinazoipita mac kila idara.

na nna uhakika hujatumia defender na windows 10 na ant virus ya zamani ya microsoft kwenye windows za zamani inaitwa microsoft security essential, hii defender ni mpya.unless wewe ni mfanyabiashara mwenye sensitive data huna haja ya kutumia zaidi ya defender na windows 10. 2017 mkuu bado unawataja mcafee na norton? atleast kidogo ungesema kina malware bytes na kaspesky kidogo wanaweza kufight zaidi ya virusi, malware mbali mbali ambao ni smart.

pia kwenye mac huna antvirus ila zikitokea vulnerability unafanyaje? mpaka updates? wakati pc una update tu ant virus database, nakumbuka zile loop za java watu wa mac walikoma sana sababu fate ya pc zao wote wanasubiria oracle aiupdate java.

Mkuu nakubaliana na wewe baadhi ya vitu, hio defender upya wake ni from which year, kwa sababu hio defender imekuja shipped with windows 7, kweli sijatumia windows 10 with defender, lakini am pretty sure nimetumia windows 7 with defender with an additional anti virus ya Mcafee. And huwezi ukadharau Mcafee na Norton, hawa ni still big players in security.

Kwenye Mac hakuna anti virus?! nani Kasema? Kuna Bitdefender, ESET, AVG,NORTON, hio Kaspersky uloisifia, so sijajua labda umekusudia nini hapo. And guess what basi, mkuu mi tangu nianze kutumia Mac, sijawahi kufikiria kuweka anti virus, mpaka sasa sijapata any issue, i can't say that to the windows pc i have experienced, must have anti virus.

Hio karspesky tulikuwa tunatumia kwenye desktop ya ofisini iliyorun windows 7, siku 1 ilitumwa email kumbe ilikuwa na malware ndani yake wale wa ransomware, kwa bahati mbaya manager akaifungua kutaka kujua nini ndipo shughuli ilipoanza, tulipoteza kla file iliyopo kwenye doc, xls, pdf, ppt, n.k, tukampelekea IT expert akasema hawezi kuzirudisha kwa sababu hio malware ni mpya na bado haijapatikana solution, alichotufanyia katuwekea back up ya file zetu zilizokuwa encrypted na huyo maalware ili itakapotoka update ya kufix hio issue tutumie kuzirudihsa, tulipoteza data nyingi sana, hivi sasa ofisini tume update to windows 10, na jamaa ame recommend tutumie BitDefender
 
chilubi Symantec bado ni big player ila MacAfee anapotea taratibu na in future hatakuwepo kama trend itabaki kuwa hivi.
 
Open Source Software sio movement tena kama ilivyoanza na Linus Tovalds mwaka 1991, hivi sasa ni business strategy. Faida kuu za Open Source kwa sasa ni:
  1. Watu wengi zaidi wanapata fursa ya kuchangia uimara wa product maana wana access na source code. Kwenye proprietary Software, watu walewale waliotengeneza product ndo wanaoendelea kuiboresha-hakuna mawazo mapya
  2. Ni njia rahisi ya kuwawezesha watu wengi kuijua product yako. Watu wengi sana wanajishughulisha na Android development kwa sababu ni open source. Hao developers wanasaidia watu wengi zaidi kutumia product zako maana na wao wanakuwa na maslahi kutokana na product zako.
  3. Ni nafuu zaidi kwa upande wa gharama kutumia open source kuliko kuwa na dedicated team for proprietary software development
Kuhusiana na Samsung, nadhan tunafanya makosa sana kuwalinganisha na Apple kibiashara. Wana wateja tofauti kabisa kwa sababu wantumia strategy tofauti. Samsung anaweza kuuza simu zake zenye ubora sawa au zaidi ya Apple kwa bei rahis kwa sababu anaweza kupunguza gharama za uzalishaji-kwa kutumia opensource.

Makampuni makubwa kama Google na Facebook wana product zao walizozianzisha kama proprietary then baadaye wakazifanya open source baada ya kutambua manufaa yake. Open source is the way to go.
 
chilubi Symantec bado ni big player ila MacAfee anapotea taratibu na in future hatakuwepo kama trend itabaki kuwa hivi.
Ndio mkuu ukisema kuwa Macafee anaanza kupotea apo nitaelewa lakini sio ku rule out macafee completely, hawa jamaa sasa ivi wako pamoja na INTEL si ndio hao hao wanowatengezea watu chips?
 
Mbona apple wameweza?
Mkuu apple wakati wanakuja na simu yao ya mwanzo wamekuja kufanya revolution kwenye mobile phones. Tulikuwa tumezoea masimu yakiwa na button tele, complicated shapes though some were beautiful, yeye akaja na kitu kipya, na interesting watu wakaanza kuhamia kwenye iphone sasa, it was time time to experience a new way of using and interacting your phone. Sasa hivi game imekuwa ngumu, mi binasi huwa nafikiri simu sasa zimefikia hatua ya mwisho mwisho tena, sijui future ikoje lakini nnachoweza kuona kwa miaka ijayo, tutaendelea kuona curved screen, faster ram, faster processor lakini sio vitu ambavyo vitakuwa that interesting kutokana na usability ya ivo vitu.
 
Ningependelea simu nyengine ziwe na more capability of doing more things then we are used to, mfano tu zamani wakati natumia Nokia, ilikuwa intresting unaweza ukachange theme ukaifanya kama unatumia windows vista, huo ni mfano tu.

Nimependa feature ya S8 kuweza kuiturn into desktop like os ukiconnect na monitor, ni idea ambayo nlikuwa nayo zamani ningependelea kuona ipo kwenye simu, kisha nlikuwa na concept ya kwamba kwa vile laptop imereplace desktop, tablets nazo zilitakiwa ziwe replacement ya laptop, matokeo yake Apple wametoa tablet with phone features except calling, na samsung nao kufanya ivo ivo lakini wameweka calling, ni MS peke ake ametumia akili kuifanya tablet kuwa kama full desktop os device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom