mm natumia samsung wewe, ila nilishatumia WP, nina shaka unatumia OKING weweHaujakosea IST na Mercedes s class zote zinakutoa point A na kukupeleka point B.. windows phone users ama kweli kuna nut zipo loose akilini mwenu sio bure.
Wenye uwezo wa kununua.Wangapi wanatumia hizo?
Battery 4, sd card kadiri 10 za 64 GB, na nyingine kadiri 10 za 128 GB. Na zinaongezeka kila mwezi.Mkuu umetisha. Kazi unayo kweli.
Mkuu naomba unijibu hili swali, unatembea na battery 4 na memory card 10 mfukoni?
Bill Gates: My kids have never asked for Apple products.Sasa wanaomiliki Android wakati wana option ya Apple nao utawasemaje?
Mimi leo nina option ya kupata Apple mpya bure, lakini siitaki.
Utanisemaje mtu kama mimi?
Bill Gates: My kids have never asked for Apple products.
Bill Gates alisema haya maneno kwenye Interview na Fox Business Network... Huyo jamaa anayekubishia anaweza kui"Google" hii interview ipo CNET.
Kusema kwamba wasio na iPhone hawana deep pocket ni ulimbukeni wa hali ya juu.
Mbona Diamond na Zari wanatumia Samsung... Je hawana deep pocket?
Mbona Bill,Melinda na watoto wao hawatumii iPhone... Je hawana deep pocket? na Bill ndie tajiri wa dunia.
Mbona Warren Buffet hatumii iPhone na yeye ndie tajiri wa pili wa dunia?
Vipi kuhusu Dangote,mtu tajiri zaidi Africa... Naye hana deep pocket?
Nikitaja list yote ntajaza uzi..
Simu za Google,Apple na Samsung Galaxy series hazitofautiani bei... Pia Xiaomi Mi series zinazidi gharama ya iPhone.
Hivyo kusema ambao hawatumii iPhone hawana deep pocket ni ulimbukeni kiwango cha bahari.
overall best phone kwa hio simu ni moto g5 plus, kuanzia camera, soc, display ipo vizuri. kama utakuwa na mahitaji zaidi itategemea na hayo mahitajiFine. Nimekupata.
Let's assume mtu ana 500,000. Mwambie simu yeyote nzuri ya android ambayo akiitumia hatojuta. Performance wise, battery life nk. Android yeyote.
Huawei mate 7Fine. Nimekupata.
Let's assume mtu ana 500,000. Mwambie simu yeyote nzuri ya android ambayo akiitumia hatojuta. Performance wise, battery life nk. Android yeyote.
Haujakosea IST na Mercedes s class zote zinakutoa point A na kukupeleka point B.. windows phone users ama kweli kuna nut zipo loose akilini mwenu sio bure.
Hutaki tu kukubali kuwa hayo mauzo yametokana na hizo simu kuwa na Android, kumbuka pia ilikuwepo blackberry lakini ilifeli, makampuni mengi yame boost biashara za hizi vitu sababu ya android.Nashukuru kwa kuniweka sawa kwenye battery life.
Kama hao big players wamekataa kwanin wasitengeneze nyingine ambayo unaweza kucustomize na internet of things?
Kama ningekuwa CEO wa Samsung Mobile ningeamuru tutengeneze eco system yetu. Ianze na mobile phones, tablets hadi personal computers.
Mwanzo mgumu ila najua matunda ya mbeleni ni makubwa mno.
Simu 300M zenye OS ya Samsung unadhani ni faida ndogo?
Hata developers wangeimezea mate hiyo Platform.
Samsung walijaribu kufanya heavy customization a.k.a forking ila nahisi ili back fire,washakuwa na os zao kama bada na tizen lakini zilifeli,kikwazo kikubwa kwa os ni support ya developers.Samsung wanayo yao inaitwa tizen. Lakini wanatizama maslahi, itabd wagande na android kwanza, mana kuwapata developers kutengeza apps zao katika os yako mpya ni kazi nayo, nokia mwenyewe kabuma. Saivi ios na android ndo zishatawala soko tena, kutambulisha yako nyengine ni shughuli pevu na itacost sana. Ni upumbavu wao nafikiri kuwa wavivu wakuipa android nzao uniqueness, mana android ni open source, sifahamu kwanini hawaicustomize vya kutosha ikawa na muonekano tofauti na android nyengine, ndio maana mtumiaji wa samsung s6 ni sawa tu kwa MATUMIZI na close ya s6. Zamani kulikuwa na symbian, ambayo nokia na sonyerickson walikuwa wanatumia, lakini interface zao zote ni tofauti. Android zote zipo sawa. Ndio maana kutumia iphone regardless of less features ina customer loyals wanaopanga mstari wiki kabla ya mpya kutoka 😀 wazungu bana hawana subra
Operating softwareOs ni nini?
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.
Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.
NASKIA WATAANZA KUTENGENEZA OS YAO SIKU MKITENGENEZA SIMU PALE NYUMA IMEANDIKWA "Designed by BashiteNIAN assembled in Kolomije halafu ukiwasha unakutana na logo ya nanhii af welcome to Kolom OS(KOS).