Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Kwa ushabiki huu hata kana una iphone basi unafuata mkumbo tu.

Hadhi gani inayopatikana kwenye simu ya iphone 4s, umeshawahi kukutana hata na s6 tu achilia mbali hiyo 7???.

Eti uko na simu inazuia piracy bongo, mpaka bluetooth jaman , iphone ni simu flani kama umeshikiwa akili ndio utaielewa.

Halafu naona kama apple kachoka kwenye 7s, ina muonekano usio na msisimko kama 6s sasa kwa hiyo bakora ya s8 sjui atamjibu nini samsung.
Asiyekijua kitu ni rahisi sana kukipinga, siwezi kukulaumu kwa kauli yako huwenda hujajaribu os tofauti ili ujue utofauti kati ya android windows ios na os zingine na kama ndiyo ivo huwezi acha kusema ushabiki jaribu kufanya uchunguzi utabaini.
 
Kabisa mkuu nasimuliwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom