Ambe sokoro waito[emoji38]Hii ni elimu ya namba(ni pana zaidi kiroho) kwa mfano kama ni saa 7 halafu saa inaandika 1, bhasi chukua 7-1=6(namba ya uasi), kama ni saa 8 ila saa inaandika 2, chukua 8-2=6 ama kama ni saa 10 halafu saa inaandika 4 bhasi chukua 10-4=6 yaani hii inaitwa 666(ikiwakilisha uasi wa mwanadamu anayelazimisha kuabudiwa kama Mungu) =pope, unajua vitu huanzia kutokea ktk ulimwengu wa roho kisha huja ktk ulimwengu halisi, shtuka chukua hatua kwa kumsoma Pope Gregorian X111 kisha utajua jinsi alivyobadili majira, mtafute Bwana ungali hai, barikiwa.
Kuhusu hii elimu yako ni ndogo kwanini ujiulizi ni kwanini kila mwaka majira yanajirudiarudia kmfano kila mwezi 4.masika mwezi 7kiangazi wa9 vuli nk. Fanya utafiti lete majibu ya utafiti wako hapa acha kulialia. Kuyajua haya kuna gharama.Ambe sokoro waito[emoji38]
Hapa kuna mtunga kalenda mmoja kutokea mamlaka ya Vatcan kule Roma ndp alituchanganyia habari hizi..kutuambia wiki ina siku 7 lakini ndani ya mwezi eti unakutana na iku 30 na 31.why zisiwe 28?kiukweli na kiuhalisia ikiwa asubuhi mpaka jioni ni siku moja na kutoka jioni kwenda asubuhi tena ni siku nyingine.hivyo tu
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku 1.hapakua na masaa zaidi ya hayo ya kutazama jua linapokucha na likizama tu ni siku imeisha.ikianza jioni tena na usiku wote kwenda asubuhi ni siku ya pili piaKabla ya huyo mtunga kalenda ulikuwa unahesabu vipi masaa?
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
hahahaha [emoji144] [emoji144] [emoji144]Umetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.
Na washawasha!
Saa 6 usiku au 00.00 hours
Nilichojaribu kueleza kimeeleweka.Sasa mbona kule umeandika SAA saba
Mkuu hata Kiingereza moja ni One na seven ni saba bado hauko sawaUmetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.
Na washawasha!
Chukua muda wa halisi toa wa muda unaonyeshwa kwenye saa kwa kila saa halafu utapata jibu
naona mmeamua kujipa likizo ya kufikiriMipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
Brainwashed ideas!Nia ya hawa jamaa kuweka mambo kinyume na taratbu za dunia hii ndio imepelekea saa 7 kua sa 1 wao n Ant evrythng kwa maana ya new word order na kuitukuza 6 namba kila saa linabadilishwa na 6 na kuleta maana nyingne Mfano 12-6=6 sa13-6=7 mchana lkn wao wanaiweka 7 kua asubuh saa 8-6=2 saa nane bdl ya saa mbil
Mie sàa yoyote iwe ya mshale au digits naset kikwetu.Ila hii itafaa kwa zile saa zinazoonesha namba na sio za mishale.
Sina mbavu duuuuuMipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
Kwanini utoe tu na usijumlishe au kuzidisha na kugawanya. Nini influence ya kutoa?Tazama haka kamchezo ka 666
Saa 1=saa7
7-1=6
Saa 2=saa 8
8-2=6
Saa 3=saa9
9-3=6
Saa 4=saa10
10-4=6
Saa 5=saa11
11-5=6
Hvyo utaona masaa yote yanauhusiano mkubwa na no 6 Ambayo ni no ya mnyama vicarius ama papa. Ipo history yake ambayo ni ndefu sana Juu ya kwanini mpk ikawa hivi l
Mkuu uaakili sanaMipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali