samjarusha
Member
- Apr 22, 2017
- 9
- 43
Ukinambia nitumie 24hrs bado ntakuuliza swali maana hats huko sa moja ni 19 badapa ya moja kama moja SAA saba ni 13 badala ya saba kama sabaukiona siyo sahii acha kutumia, kuna 24 hours mode, weka hiyo uanze kuhesabu masaa kuanzia moja mpaka ishirini na nne
Chukua muda wa halisi toa wa muda unaonyeshwa kwenye saa kwa kila saa halafu utapata jibuHabari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia 7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie SAA moja kama 1 badala ya 7,au SAA mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Cjakupata vzr kli anajua cku huanza SAA sitaUCk so bado nakuwa naswali kwan sa sits uck ikiandikwa 6 na sa saba ikaandikwa 7hatuwezi kutumiaKwa mujibu wa calendar tunayo itumia sote duniani (The Gregorian calendar, an internationally and most widely used civil calendar. It is named after Pope Gregory XIII, who introduced it in October 1582) siku huanza saa sita na dakika moja usiku tofauti na mazoea yetu kuwa siku inaanza saa 12 asubuhi muda jua linapochomoza.
Mipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
Chukua muda wa halisi toa wa muda unaonyeshwa kwenye saa kwa kila saa halafu utapata jibu
Cjakupata vzr kli anajua cku huanza SAA sitaUCk so bado nakuwa naswali kwan sa sits uck ikiandikwa 6 na sa saba ikaandikwa 7hatuwezi kutumia
Cjakupata vzr kli anajua cku huanza SAA sitaUCk so bado nakuwa naswali kwan sa sits uck ikiandikwa 6 na sa saba ikaandikwa 7hatuwezi kutumia
Kama mwenzetu mmoja alivyokueleza hapo mwanzoni, utaratibu wa muda unaotawala dunia ni wa wazungu. Tukichukulia kwa Kiswahili au kwa mazoea yetu, tuna ama saa moja asubuhi au usiku, na kwa saa saba ni hivyo hivyo. Kwa utaratibu wa dunia, siku inaanza usiku, pale sisi tunaposema ni saa 7 usiku, ndio mwanzo wa siku/tarehe mpya, ndio maana wao wanasema 1. Tofauti ni kuwa sisi tunatumia zaidi masaa 12, ila wao wanatumia masaa 12 pia na masaa 24 kwa mambo ya utaalamu zaidi.
Tofauti nyingine, ni pale sisi tunapoita ile saa 7 usiku ni usiku, wao wanaita ni 1 asubuhi (am). Saa 1 asubuhi yetu, wao ni mwendelezo wa walichoanza nacho tangu ile saa 7 ya usiku yetu, hivyo wao ni 7am. Saa 7 mchana ya kwetu, kwao (kwa masaa 12) ni saa 1 pm, (kwa masaa 24) ni saa 13, na jioni yao ndio inaanzia hapo.
Mazoea yetu ya kufanya mambo bila ya tafakari.Ajabu ni kwamba mwaka mpya ukifika woote tunasheherekea saa sita usiku. Kesho yake watu wanakuuliza kwa nini saa moja asubuhi inasomeka saa 7. Mbona hamusheherekei hiyo saa asubuhi?
Mtoa mada kama nimekuelewa vizuri swali lako ni kwamba kinachoonekana katika saa ndio kitamkwe au wakati uliopo ndio uandikwe kwenye saa, badala ya hii "viceversa" tunayotumia, kwa maana ya kwamba saa 7 kutamka saa 1.Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Soma Daniel7:25..utaelewa no namaanishaHabari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Pia dan7:25Mipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
ukiona siyo sahii acha kutumia, kuna 24 hours mode, weka hiyo uanze kuhesabu masaa kuanzia moja mpaka ishirini na nne