Kwanini Ruge hakumshitaki Sugu?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Nimeshangazwa na Ruge kuamua kumshitaki Ledy J.D (JUDITH WAMBURA) Kwa kumtuhumu kuhujumu kazi Zake.
Swali kwanini hakumshitaki Mr Two si kwa kumtuhumu kuwa mwizi wa kazi za wasanii bali kumtukana kwa nyimbo yeye na Claud fm kwa nyimbo kama I wana kill u right Now.

Vipi JD TENA ATA WIMBO WA JOTO HASIRA INGAWA NI UJUMBE ULIOJIFICHA KWENDA KWA RUGE LAKINI HAIKUWA WAZI.
 
Nimeshangazwa na Ruge kuamua kumshitaki Ledy J.D (JUDITH WAMBURA) Kwa kumtuhumu kuhujumu kazi Zake.
Swali kwanini hakumshitaki Mr Two si kwa kumtuhumu kuwa mwizi wa kazi za wasanii bali kumtukana kwa nyimbo yeye na Claud fm kwa nyimbo kama I wana kill u right Now.

Vipi JD TENA ATA WIMBO WA JOTO HASIRA INGAWA NI UJUMBE ULIOJIFICHA KWENDA KWA RUGE LAKINI HAIKUWA WAZI.
Sugu ni namba nyingine.
 
aliwashitaki wale mapacha wakaenda mpaka mahakamani lakini sugu aliwapiga beat wakatoa kesi mahakamani
 
Ukiusoma na kutafakari kwa makini ujumbe wa Lady JD alio urusha kwenye mitandao ya kijamii akielezea jinsi wasanii wanavyo nyanyaswa na huyo Ruge, waweza kuwa shahidi, yakuwa Lady JD aliandika ujumbe ule kwa uchungu sana, ambao chanzo chake ni Ruge. By ze way Nguvu ya dhuluma haijawahi kuishinda nguvu ya haki.

Ruge ni tatizo, anatapa tapa kwa sasa baada ya madudu yake kuanikwa wazi na Lady JD. Ni dhahiri Lady JD ana watu wengi sana nyuma yake ambao ni invisible, hivyo basi Ruge anapoteza mda.
 
Ruge amenisikitisha sana kama ni kweli anafanya haya mambo ya aibu,Ila Waziri Mkuu mzima anaenda kwenye radio inayotapeli watu na kuzika kazi za wasanii ni fedheha kubwa sana kwa cheo chake
 
alijua akimshitaki sugu atajitafutia matatizo maana support ambayo angeipata sugu kisheria ni kubwa inatetemesha hata serikali yenyewe coz sugu angepata sapoti ya mawakili ambao hata majaji wenyewe wanawaogopa mfano Lissu
 
hatari sana,tatzo wasanii we2 wote hawajtambui sana,cjui tatzo ni elimu au upoyoyo,hawajijui kabsa,kama wao akina nan kwny media!!wanabak wanawasujudia badala ya wao kusujdiwa na media!!
 
Sugu maji marefu haswa!,Lakini Ruge hata huyo JIDE hamuwezi anatikisa kiberiti tu,atakapogundua kimejaa atakimbia mbio za kibanga akimpiga mkoloni.Chezea JIDE!Hampati hata kidogo Jamaa ni debe tupu ndiyo maana haliachi kutika.
 
Alimuona sugu chizi fresh. Kwani sugu kaja mjini mwaka gani? Kipindi hicho anavaa kandambili mjini
 
Nimesikiliza album zote mbili za Antivirus ukiachana na matusi kuna ujumbe mkubwa kutoka kwa Sugu na inaonekana ana ushahidi wa kutosha wa aliyofanyiwa na Ruge.Sugu pia alijiandaa kwanza kwa kutafuta support kutoka kwa watu wengine ikiwemo Anti-clouds,ikiwemo wasanii wa Hiphop kama wakina Mapacha,Danny Msimamo etc ambayo wasanii wa hiphop sio waoga inapokuja suala la bif.
Kwa upande wa Jide pia mi naona ngoma bado nzito,Jide ana support kubwa pia ndani na nje ya nchi,wanomjua Ruge ni watu wa dar tu na hao 'wakubwa' wa serikali,huku vijijini kwenye redio one na tbc watu wanamjua na kumpenda Jide hivyo kitakachomuokoa hapa ni 'nguvu ya umma', nani alijua album ya matusi tena kwenda kwa clouds fm imevuma na tena haikuzuia chochote kwa Sugu kuwa Mbunge? Ukweli utaushinda uongo daima,hata Ruge akishinda hili alilofungulia kesi bado kuna mengine mengi yatakuja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom