Kwanini Ruge hakumshitaki Sugu?

Kwanini Ruge hakumshitaki Sugu?

ruge mizizi yake ipo ccm na itakoma pale ccm itakapo ng'oka 2015. jide pigana hadi mwisho kama vipi toa hata namba tukuchangie kupambana tupo nyuma ako dada.
 
Sugu moto chini..... Lady Jaydee inabidi komae na kesi asioneshe udhaifu huyu Ruge anaonekana kama ktu hatari sana, mtu ambaye angetakiwa kuwa na heshima sio wa kugombana na wasanii badala yake wangekaa wayamalize sio kutishiana
 
Hivi huyu ni mtu gani anagombana na kila mpenda haki there is something behind him
 
Jamani si nasikia Wasira ndiye baba mlezi wa Jide,Sasa inakuwaje Ruge anampeleka mtoto wa Mzee wa Gombe mahakamani.Kwani Kati ya Ruge na Wasira nani Yuko karibu na Baba Mwanaisha vile,.?! Nauliza tu
 
Dah yupi anisaidie kupata ngoma za anti-virus kwani wajamaa wana msimamo na wanajua wanachofanya.mwenye nazo plz azimwage hadharani hapa.
Nawakilisha
 
kumuongela Ruge kila siku ni kumjengea promo bure
 
Back
Top Bottom