CNN sasa hivi inamilikiwa na kampuni ya Time Warner-AOL hivyo sio mali ya mtu binafsi lakini mmiliki wake wa zamani Ted Turner alikuwa anatokea mara nyingi tu kwenye CNN.
Inategemea anjishughulisha na issues gani,,Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.
Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.
Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.
Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?
Atajiweka akiwa anakanda unga wa chapati?Mengi ana jitokeza kwa mambo ya kitaifa,ni kiongozi katika sekta mbalimbali.Kuna kitu cha kujadili hapa jibu swali sio unajifanya eti hakuna swala la kujadili hapa. eti bakhresa na yeye awe anajiweka kwenye kioo cha Azam TV muda mrefu kama Mengi? hiyo haitawezekana kamwe.
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.
Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.
Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.
Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?
Hivi Mengi na rais wa nchi nani mtu mhimu?
wote ni muhimu
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
unaongea kirahisi sana lakin linapokuja suala la kumiliki media ni tofauti na kumiliki duka! kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhan hata sheria au kanuni zinakataza suala hilo coz media ni lazima itoe priority 4 national interest-e.g, n'the same event, huwez mpa JK 2 min, Mengi 5min unless kuna strong reason! mkùu Pasco, njoo utusaidie hukuulitaka nani aongee muda mrefu?na nyie fungueni yenu acheni majungu,ITV NI MALI YA REGNALD MENGI!!!!!,PERIOD!
ktk hilo, suala la kutangazwa inategemea na intention ya muhusika! kwa mtu anayesaidia jamii ili apate fadhila za mungu hawez hata cku moja akataka kutangazwa lakin ikiwa unataka fadhila za mwanadamu, ndo hivyo tenaWatanzania kwa kubishana kura ya wazi/ siri ilichukua mwezi mzima bungeni.
Hivi Mengi Utamlinganisha na nani kwa Viongozi na Wamiliki wa Vyombo vya Habari vingine kwa kuitumikia Jamii?
Dialo au Bahareza? Tumikia jamii utangazwe kila cku.