unaongea kirahisi sana lakin linapokuja suala la kumiliki media ni tofauti na kumiliki duka! kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhan hata sheria au kanuni zinakataza suala hilo coz media ni lazima itoe priority 4 national interest-e.g, n'the same event, huwez mpa JK 2 min, Mengi 5min unless kuna strong reason! mkùu Pasco, njoo utusaidie huku
uliza google mkuu
Uje na data hapa, acha mahaba niue. Wengine hatupati hiyo itv yako
Mkuu NazDaz, hili suala limeishawahi kuleta hojaji hadi ikatinga bungeni.unaongea kirahisi sana lakin linapokuja suala la kumiliki media ni tofauti na kumiliki duka! kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhan hata sheria au kanuni zinakataza suala hilo coz media ni lazima itoe priority 4 national interest-e.g, n'the same event, huwez mpa JK 2 min, Mengi 5min unless kuna strong reason! mkùu Pasco, njoo utusaidie huku
Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
Hivi Mengi na rais wa nchi nani mtu mhimu?
Hivi Mengi na rais wa nchi nani mtu mhimu?
Mkuu Pasco,Mkuu NazDaz, hili suala limeishawahi kuleta hojaji hadi ikatinga bungeni.
Vipi wewe hupendi kutokea kwenye TV?.
- Kuna TV zinaitwa Public TV Stations na Private TV Stations, ITV na Channel 5 japo zinamilikiwa na mtu binafsi ni Public TV Stations ndio maana ziko free to air.
- Kitendo cha kuwa free to air, kitaifanya ITV kwa kiwango fulani kuwajibika kwa umma kupitia regulator TCRA, hivyo hata kama inamilikiwa na Mengi, Mengi hawezi kujiamulia mfano taarifa yake ya habari ziwe ni habari zake tuu!.
- Journalism ni professional na broadcast journalism sio tuu nayo ni professional, pia inahitaji kipaji fulani!. Kwa kumbukumbu yangu, electronic news clip, ina viwango fulani vya urefu, no matter how big the story is, unless ni developing story yenye ante tofauti, au its la I've news!. Kwa kumbukumbu yang ya broadcast journalism, TV news clip, haipaswi kuzidi 5 min!. News ikiishafikia 5 min, sio news tena hicho ni kipindi!, a "program", hivyo every time unaona news inazidi 5 minutes, hiyo ni very unprofessional, na kiukweli news kibao za mwenye mali, hula zinazidi 5 min!.
- Kuna wamiliki wa TV na wamiliki wa TV, wengine wanazitumia TV zao kama vitega uchumi to generate income!, wengine wanazitumia TV zao sio tuu kama vitega uchumi, bali the tools to "exercise power!". Hawa ambao wanazitumia TV zao kama tools, utawaona mara kwa mara wakionekana tena sana tuu!. Hebu jiulize, wangapi mnamjua mmiliki wa Channel Ten, mimi namjua ni mfanya biashara mkubwa tuu, ila kwake TV ni kitega uchumi tuu na not a means to power!.
- Ila pia, kuna baadhi ya watu, wanapenda kuonekana!, wanapenda kutokea kwenye TV, hata wakihudhururia tuu mkutano as waalikwa, sio wasema, sio watoa mada sio wageni rasmi, just delegates, lazima wataita TV zao ili ku cover mkutano huo, na inatokea tuu, just happens according to the principle of "he who pays the piper!", hao waandishi na wapigapicha hujikuta wanalazimika kujikomba komba kwa mwenye mali kwa kumuonyeshea hata kwenye footages tuu kuwa "fulani yupo!", huu ni uthibitisho "anapenda!", angekuwa hapendi angezuia!.
Mimi napenda kutokea!.
Pasco.
Aisee!Akili za "Kong'ota" wako Pasco unataka uchanganye na zako?Jibu moja mali ya Mengi wacha aongee na kwa mtazamo mwepesi huyo JK nisingempa hata dk kwa anayoongea ss....mpk alete Tanganyika yetu!mipashooo tu nendeni TBC
Mpango bado upo, tatizo ni logistics tuu!.Mkuu Pasco,
Kwanza thanx kwa ufafanuzi wako wa kutosha... hapa nimeongeza ilmu! Kuhusu kupenda kutokea kwenye TV mie nafahamu kabisa kwamba wewe unapenda kuuza nyago na ndio maana ukaanzisha program yako kabisa ili uwe unauza nyago kwa nusu saa na zaidi... hapo nafahamu unaona Sabasaba inachelewa kishenzi ingawaje mwaka jana ulitupiga changa kwamba this year ungekuja na program nyingine na kuanza nae mamvi... nashangaa kimyaa!!!!! What about me kuuza nyago...aisee, na mimi kama Mzee Machache tu, napenda hata wewe nimekuzidi na ninampango wa kuanzisha program ya kwangu na mimi badala ya kuvizia na kukatisha mbele ya cameraman kwa surprise!
Television ni yake huwezi kumpangia!
hata asubuhi hii ameongea pia.Leo saa mbili usiku huu ameongea kidogo