Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?

Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?

Njoo na ushahidi wa clip zao hao viongozi wengine na Mengi. Hiyo issue kuna mbunge mmoja alishawah ropoka na OTV wakaamua kuweka ushahidi wa shutuma zao.
 
Hata akichinjwa kuku nyumbani,baba ndio huwa anapewa paja nono,kidari kinono na firigisi. Pia wakati wa kupakua kwenye hotpot au chungu,huwa anaanza kupakuliwa baba kisha mama na watoto! Sasa we jirani ukichukia basi nenda kafanye utaratibu mwingine kwenye familia yako,kama unayo hata hiyo familia. Yeye ndio keshafanya ya kwake.
 
Kwa sababu ana akili nzuri na uwezo mzuri kuliko hao unaowaona wewe wanatakiwa waonyeshwe. Umewahi ona wapi gari ununue wewe jirani yako ndo atambe nalo isipokua mtu ana laana ya kwao na kapata hiyo gari kwa dhuluma hatapata raha ya kulitumia. Kama vp anzisha tv station yako umwonyeshe baba yako na familia yako tu sisi serekali hatuna shida cha msingi ulipe kodi ya tv station yako kwa uaminifu.
 
anatafta heshma kwa nguvu naskia katoa ela ya kutosha chadema ili wamchafue wazri muhongo aliyemnyma mengi udalali wa vtalu vya gesi...cz vtalu alivyopewa vya tanzanite na dhahabu kaviacha ni mapori....huyu ndio mengi smba anayevaa ngoz ya kondoo mnafk balaa
 
waulize wanaomuweka sie hatujui....by the way si mpaka yeye aseme haya hapo mkate inatosha nani atajaribu kumkatia boss? ila hayatuhusu nenda ITV
 
Hivi Mengi na rais wa nchi nani mtu mhimu?
 
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.

Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.

Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.

Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?
l

Mkuu TBC inawapa muda gani hewan hao viongozi wa kitaifa?
 
Kwenye ukweli acha tuseme, jamaa amezidi mno kuuza nyago kwenye kioo, utakuta kitu ambacho kwa mtu mwingine hakikutakiwa kiwe habari lakini kwa vile ameongea Mengi wanainyonga wee mpaka iwe habari tena ya dk nyingi tu.
Yote kwa yote ni tv yake, tumwache afanye yake.
 
Mbona ile Emmanuel TV yule TB Joshua kutwa kucha ni yeye tu? Si ndio mmiliki? Kule TBC ni CCM kutwa kucha si wapangaji wa Ikulu?
 
Vituo vingine wala hatuwajui wamiliki wake,cha muhimu habari tuzipatazo tu,ushamwona mmiriki wa CNN,NBS,C/TEN na vituo vingine wakiuza nyago kwenye Tv zao?huo utaratibu upo kwa IPP MEDIA pekee...
 
Vituo vingine wala hatuwajui wamiliki wake,cha muhimu habari tuzipatazo tu,ushamwona mmiriki wa CNN,NBS,C/TEN na vituo vingine wakiuza nyago kwenye Tv zao?huo utaratibu upo kwa IPP MEDIA pekee...

Utawaonaje wakati walishakufa unataka mzimu wao ujifunue kwenye screen za tv station zao na walio hai nenda kawalambe miguu ili na wao waanze kujionyesha kwenye tv station wanazomiliki.
 
Utawaonaje wakati walishakufa unataka mzimu wao ujifunue kwenye screen za tv station zao na walio hai nenda kawalambe miguu ili na wao waanze kujionyesha kwenye tv station wanazomiliki.

Unamajibuuuu nafikiri yamemtosha
 
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?

Madai kama hayo aliwahi kuyatoa Mh Malima (Mb) katika bunge la muungano. Ilipoteuliwa tume ya kuchunguza ukweli, Mh Mbunge aliumbuka kwa sababu data zilizotolewa zilionyesha tofauti kabisa na madai ya Malima. Spika hakumchukulia hatua yoyote kwa sababu ni mbunge wa CCM. Na kwa kuumbuka kwake Mh Rais alipofanya mabadiliko katika baraza la mawaziri alimpooza kwa kumpa unaibu waziri. Sasa wewe unayekuja na hoja ileile tuletee data kudhihirisha ama sivyo utakuwa umetumwa au hujui.
 
Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!

Mengi ana haki ya kutumia chombo chake kufanyia PR hata kama ataudhi watu wengine, hiyo ni privilege aliyonayo kama owner. Huenda mmiliki wa Star TV hapendi limelight ndio maana hatokei kwenye TV yake. CNN sasa hivi inamilikiwa na kampuni ya Time Warner-AOL hivyo sio mali ya mtu binafsi lakini mmiliki wake wa zamani Ted Turner alikuwa anatokea mara nyingi tu kwenye CNN.
 
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.

Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.

Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.

Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?

Naunga mkono hoja. Mimi ninafanya kazi za mzee .. huwaanapenda recognition and gratitude . Na hapa hatachelewa kuwajibu na kujitetea.Account yake naifahamu yumo humu JF ila si vema kutoa(JF ethics).
Mfano. Antony Diallo huwa hana makuu na Star TV yake?
 
Back
Top Bottom