Atajiweka akiwa anakanda unga wa chapati?Mengi ana jitokeza kwa mambo ya kitaifa,ni kiongozi katika sekta mbalimbali.
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
Ina maana elimu sio jambo nyeti la kitaifa?au wewe shida yako mi JK aonekane?mbona anaonekana sana TBC asubuhi mpaka jioniHa haa mambo ya kitaifa kuwa mgeni rasmi kwenye graduation ya form four na habari hiyo inaoneshwa dakika tano katika taarifa ya habari na raisi anazindua barabara ya kilometa 100 anaoneshwa dakika moja na nusu?
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.
Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.
Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.
Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
Mbona rais anatumia mda mrefu TBC kuliko mengi.tumia akili sii makalio
Ha haa mambo ya kitaifa kuwa mgeni rasmi kwenye graduation ya form four na habari hiyo inaoneshwa dakika tano katika taarifa ya habari na raisi anazindua barabara ya kilometa 100 anaoneshwa dakika moja na nusu?
Mengi ni Nani? Na
ITV ni nini?
Msaada plz
...si TV yake,nawe anzisha yako ujinafasi, mtu kahanagaikaa weee kujenga mafanikio leo mumpangie namna ya kuyafaidi duu...!