Kwanini rais wetu hatembelewi?

Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
watu hawakuuliza kutembelewa kwa benard membe,jaribu kuelewa protocal,hillary clinton si size ya Rais kikwete ila kwa vile unajua uwezo wa Rais wako nadhani upo sawa!!na isitoshe huyo mgeni wa membe alikuja kuhalalisha wizi wa dowans!!!!!!
 
Wamtembelee ana nini? Wakati kila siku anapiga hodi kwa wenzie kuombaomba, cha ajabu hata hicho kinachoombwa hatujui kinaenda wapi isipokuwa net za Bush ambazo zimeingizwa biashara tena.
 
Rais wa kwanza wa american kuja Tanzania ni George W.Bush mwenyeji wake alikua Kikwete
For Sure utakuwa unamaanisha Rais Wa Kwanza kuja Dar Es Salaam na Si Vinginevyo Bill Clinton Ndie Rais Wa Kwanza Wa America Kuja Tanzania Ulikuwa Utawala Wa Mkapa..

Wingi wa Viongozi Wajao Nchi ni Kutembelea Mbuga za Wanyama Na Si Vinginevyo lakini wakifika hupewa ma deal waje wazoe mali zetu

Tizama Hata Abramovich alipotua aliombwa anunua Simba na Yanga akatoa nje akasema nikirejea tena ndio ikawa ''G''

Rais wa Zanzibar tu hapendi kuja.

Hata Raisi wa Pemba Hafikirii kutembelea Tanganyika
 
watu hawakuuliza kutembelewa kwa benard membe,jaribu kuelewa protocal,hillary clinton si size ya Rais kikwete ila kwa vile unajua uwezo wa Rais wako nadhani upo sawa!!na isitoshe huyo mgeni wa membe alikuja kuhalalisha wizi wa dowans!!!!!!

nashukuru kwa kumfafanulia nadhani sasa ameelewa vizuri.
 
For Sure utakuwa unamaanisha Rais Wa Kwanza kuja Dar Es Salaam na Si Vinginevyo Bill Clinton Ndie Rais Wa Kwanza Wa America Kuja Tanzania Ulikuwa Utawala Wa Mkapa..

Wingi wa Viongozi Wajao Nchi ni Kutembelea Mbuga za Wanyama Na Si Vinginevyo lakini wakifika hupewa ma deal waje wazoe mali zetu

Tizama Hata Abramovich alipotua aliombwa anunua Simba na Yanga akatoa nje akasema nikirejea tena ndio ikawa ''G''

Rais wa Zanzibar tu hapendi kuja.

Hata Raisi wa Pemba Hafikirii kutembelea Tanganyika

nashukuru kwa ufafanuzi nadhani atakuwa katika nafasi nzuri yakuchangia sasa.
 
Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....

Hata marekani hana marafiki wa kiwango hicho; Bush alimbeba sana kwa sababu ya kuomba Tanzania iwe base ya US Africa Command. Obama alidhani kuwa Kikwete ni mali, lakini baadaye akagundua kuwa jamaa ni bomu na ikawa ndio mwisho wa JK kuiona White House. Akienda huko US anakwenda fanya shopping na kupata Big Macs tu.
 
Kuna kitu kimoja hapa lazima tukijue, kwamba: "Kamwe mbwa aliyelelewa vizuri kwao, huwezi kumuona majalalani akitafuta masalio/makombo ya chakula kilichotupwa na wenye shibe".

Jamaica imeshatembelewa na marais wengi toka sehemu mbalimbali duniani, kua mahali umeshawahi kuona picha ya rais yeyote wa nchi kwenye bembea kama ilivyokuwa kwa jamaa yetu. Hivi unategemea umuone Michael Satta kama ilivyokuwa kwa ******? Unadhani Kibaki hakuwepo UN, wapi umeona kapiga picha na Eminen?

Ni kama laana nchi kuongozwa na huyu ******!
 
Wamtembelee Rais wa viwango vya kina 50%, Eminem, Lil Bow Wow, Lil Wayne kwa lipi la maana?
 
Kutotembelewa ni kiashiria tosha kuwa mkwe re anarandaranda sana kwenye nchi za wenzie na hasa nchi zilizoendelea.
 
Pale magogoni panatambulika kuwa ni sehemu cheapest kuliko ikulu zote. Ni kama guest house tu.
Nani aje kujishusha hadhi yake kwa kulala guest?
Wahuni, wezi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi, nk, hapo ndo meating point yao.
Ni Rais gani awe tayari kufika hapo?
Kichwa cha nazi kweli kinaongoza watu, labda hili tu liwavutie, lakini nacho kila siku kiko 'majuu'.
 
Sasa kama hali ndio hiyo kwa nini watanzania hatuchukui hatua kubadilisha hali? Kwa sababu kuendelea hivi kwa miaka iliyobaki ni gharama kubwa, na ikitokea ajaye naye akiwa objectiveless tutasubiri mpaka miaka yake iishe?
 
Ametembelewa na Gadafi! Hii ilikuwa ni mara tu baada ya ile vita ya libya kuanza! Jamaa aliingia bongoland usiku usiku akaongea na mjomba halafu akajikataa usiku huo huo!
 
maraisi wengi wa Afrika wako hoi kiafya wachache sana waweza funga safari zaidi ya mbili kwa mwaka. Kibaki yupo hoi, M7 anajikaza, mtemi mugabe na yeye daa we acha tuu lakini anapangiaga nguvu zake zote kwenda kuwapa vidonge vyao UN watemi wa ulimwengu
 
Rais wetu hana msaada wowote, mgeni akimtembelea anaanza kuomba msaada. Kama hata ushauri hana, yeye ni kuombaomba tu, hata marafiki wamemkimbia.
 
Kama yeye anawatembelea, wao hawana haja ya kuja huku kwetu. Nakumbuka alikaa na George W Bush hapa kwa zaidi ya siku tatu. Moja ya ziara ndefu kabisa kwa Rais wa Marekani kukaa nchi moja kwa muda huo.
 
Wameshamshtukia kama ni msanii hakuna lolote la maana watakalolipata toka kwake zaidi ya kuchekacheka tu.

Basi Jk atajipatia kazi ya kuwa mchekaji au mchekeshaji hasa kujoin na kina kingwendu
 
Back
Top Bottom