Kwanini rais wetu hatembelewi?

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
152
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).

Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?

Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.

Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.

Nipo tayari kukosolewa
 
anatembelewa na akina Drogba, mtu asiyetaka maendeleo atatembelewaje na viongozi wenzie.
 
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).

Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?

Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.

Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.

Nipo tayari kukosolewa

Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....
 
.....labda waje kwa meli maana AIRPORT kila siku hakuna umeme wala mawasiliano so hawako tayari ku-risk maisha yao! hata hivyo raha ya kumtembelea mwenzio umkute nyumbani, sasa kila siku mwenzio yuko kwenye viwanja vya kahawa anaganga njaa!
 
Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....

Thank you for supporting my analysis.
 
kalenda ya Jakaya iko full mwaka mzima na akiwa Tz basi utamkuta msoga
 
Wameshamshtukia kama ni msanii hakuna lolote la maana watakalolipata toka kwake zaidi ya kuchekacheka tu.
 
Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....

Na huko America hana rafiki, anafatilia dili katika label za kina sent hamsini ili naye aachie swaga za kikwere majuu akimaliza muda wake hapa na kufuata taaaluma yake halisi- usanii!
 
Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
 
Back
Top Bottom