Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

8768e0ac3379b4f99eb36f6f5d7d899c.jpg
Kwanini anatuma salaam kama mwenyekiti wa chama cha siasa kinachowakilisha asilimia 20 tu ya watanzania badala ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anayewakilisha wananchi wote over and beyond partisan politics?

Hakika huku ni kupatwa kwa taifa.
 
Bangi mbaya sana.Unahoji kwa nini hukutumiwa salamu za krismasi?kwani ni lazima?acheni kuishi kwa kukariri
 
  • Watu mmepigika ile mbaya mnafikiria salam mnachekesha kweli.Watoto wamerudishwa vyuo vikuu serkali haina pesa za kuwakopesha lakini ina pesa za kujenga mabweni huko huko chuoni.Maajabu ya serkali ya CCM.Ameharibu uhamiaji anapewa ubalozi.Ameshindwa kusimamia vyuo anapewa NIMRI,akauwe watu.Hiyo ndiyo hapa kazi tu.
 
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
Kwan ukitumiwa salamu kuna chochote kitaongezeka ama kupungua mfukon mwako? Nchi haiendeshwi kwa mawazo yako yaani kila sikukuu ya kidini kazi ya raisi iwe kutuma salamu tu?. Anyway leo amesali Singida je ulihudhuria misa hiyo ukaona hakutoa salamu pale alipopewa nafasi ya kuwasalimu waamini wenzake?
 
Akikua atawatakia heri ya Xmas mwaka mmoja kwa mtoto anakuwa bado mtoto mdogo sana pia washauri na wasaidizi wake sijui kama nao ni watoto au uoga
 
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
JMP ameamua kuzitumbua salamu za Krismasi lakini yuko kwa wazazi wake na ndugu zake kusherehekea Krismasi. Hakuna shida hapo.

Link Christmas was a pagan holiday
 
Kwanini anatuma salaam kama mwenyekiti wa chama cha siasa kinachowakilisha asilimia 20 tu ya watanzania badala ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anayewakilisha wananchi wote over and beyond partisan politics?

Hakika huku ni kupatwa kwa taifa.
Ukisikia wazimu ndiyo huu.
 
Back
Top Bottom