Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
Nyie nae mmezidi ni wapi katiba inamtaka atume salam za kristmas kwa wanchi? Acheni upoyoyo
 
Kawatumia clouds tu , hata Tbc kawatosa !
 
  • Watu mmepigika ile mbaya mnafikiria salam mnachekesha kweli.Watoto wamerudishwa vyuo vikuu serkali haina pesa za kuwakopesha lakini ina pesa za kujenga mabweni huko huko chuoni.Maajabu ya serkali ya CCM.Ameharibu uhamiaji anapewa ubalozi.Ameshindwa kusimamia vyuo anapewa NIMRI,akauwe watu.Hiyo ndiyo hapa kazi tu.
duuuuuh!
 
Za nini wakati maisha ya mwananchi mmoja mmoja yanazidi kuwa magumu? Badala ya kumkomboa shetani awe malaika mambo yanakuwa kinyume. Malaika anaharibiwa na kuwa shetani.

Salamu hazina maana kabisa... Period!!!
 
Not that many otherwise "matching" to the freedom square would have taken place.
You mean demonstration? so you think we have a better life than Egyptians? south Africans? French ? or other countries where political demonstration are common?
 
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
Pengine hakutaka kuwa mnafiki. Anajua wengi wenu hamtaifaidi na kujirusha kama mlivyozoea kwa sababu mbali mbali. Kama kutumbuliwa, kuhofia kutumbuliwa, kuhangaika kutafuta shule za ada rahisi bila majirani kujua, kubaki na kiporo cha kodi, ku cancel michepuko kwa kusingizia ku spend time na familia.

Swali kwako: umepungukiwa na nini kwa kutokupata hizo salamu? Kama jibu ni hapana, basi hizo salamu siyo muhimu na kama umezi miss kiukweli, GET A LIFE!!!!
 
Nyie nae mmezidi ni wapi katiba inamtaka atume salam za kristmas kwa wanchi? Acheni upoyoyo
Ni kwa sababu NCHI haina STATE RELIGION/HAINA DINI.

Kama MAGIFULI anaweza KUWATANGAZIA watanzania kuwa MFALME wa Morocco ATAWAJENGEA watanzania MSIKITI MKUBWA Dar.

Basi in the SAME VEIN/ kwa njia hiyo hiyo anaweza KUWATAKIA WATANZANIA KHERI za Krismasi kama alivyozungumzia MSIKITI as if it was of national importance!
 
Kwan ukitumiwa salamu kuna chochote kitaongezeka ama kupungua mfukon mwako? Nchi haiendeshwi kwa mawazo yako yaani kila sikukuu ya kidini kazi ya raisi iwe kutuma salamu tu?. Anyway leo amesali Singida je ulihudhuria misa hiyo ukaona hakutoa salamu pale alipopewa nafasi ya kuwasalimu waamini wenzake?
Nashukuru kwa mchango wako lakini jambo hili ni KUBWA zaidi unavyofikiria wewe!
 
Back
Top Bottom