Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

Kwanini anatuma salaam kama mwenyekiti wa chama cha siasa kinachowakilisha asilimia 20 tu ya watanzania badala ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anayewakilisha wananchi wote over and beyond partisan politics?

Hakika huku ni kupatwa kwa taifa.
Acha kuwapendelea ccm eti ni 20% ya wa tz. ccm ni 0.5%
 
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
Anajua Ugali unawahusu !!
 
Sijui ulitaka atengeneze video clip kama Lowasa then aisambaze kwenye mitandao, Kwa taarifa yako salamu za Krismasi alisha zitoa kitambo na si mara moja, vile vile ameendelea kuzitoa mpaka leo hii
1. Alipotoa zawadi za Krismasi kwenda kwenye vituo vya wale wazee na watoto napo pia aliwatakia Watanzania wote Sikukuu njema ya Krismasi
2. Akiwa Singida katika maeneo mbali mbali (ikiwemo na mule kanisani) alikuwa akiwapa salamu za Krismasi Waamini wa dini ya Kikristo na Watanzania kwa ujumla, sijui unataka nini tena!.
Ni lazima uelewe tofauti kati ya INFORMAL na FORMAL official communication from the STATE.
Bila hiyo hatuko ukurasa mmoja!!
 
Ni lazima uelewe tofauti kati ya INFORMAL na FORMAL official communication from the STATE.
Bila hiyo hatuko ukurasa mmoja!!
Acha Longo Longo, Raisi alishatoa salamu za Krismasi na watu kibao tumemsikia kwa maneno yake mwenye, Kama ndo hivyo basi nenda ka edit thread yako useme unataka kuona salamu ya Krismasi yenye mihuri, sahihi na logo za serikari/ikulu tuu.
 
Huenda wamepatana kwamba mwenzake atoe salamu za xmas kule Tanga na yeye atatoa mwaka mpya hebu tu ute subira
 
Tunashukuru kwa kutoa taarifa kwenye VYOMBO vya HABARI. Japokua hata hivyo ni TOO LATE,TOO liittle/ IMECHELEWA na KIDOGO sana!

Taarifa hutolewa KABLA ya SIKU husika.As far as Presidential communication/ STATE HOUSE COMPTROLLER is concerned!
Hii husaidia kuondoa UTATA na maswali kibao!
Kusema ukweli it is UNPRECETENTED/HAIJAFANYIKA KABLA!!
Jaribuni Ku mark siku husika KISHERIA!!!
 
Acha Longo Longo, Raisi alishatoa salamu za Krismasi na watu kibao tumemsikia kwa maneno yake mwenye, Kama ndo hivyo basi nenda ka edit thread yako useme unataka kuona salamu ya Krismasi yenye mihuri, sahihi na logo za serikari/ikulu tuu.
Na iliyotumwa jana saa kumi za jioni ni ya PILI?
Tunashukuru kwa sababu finally ametuma OFFICIAL communication!
Unapojibu fanya utafiti kwanza!
 
Mwenzie yamemsibu haya
20bf652b36a7e2861c125817ecae336c.jpg
 
Back
Top Bottom