Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Atajifumza kupenda vya kwake, lazima arudi tbc
 
Ni zamu ya Joseph Kusaga kuishi kama shatani, maana aliishi kama malaika kwa muda merging sana! Acha Creations imgeuzie kibao! Ni zamu yake kusota milele! Afanalek! Wenye hekima watanielewa! Exodus 14:14
 
Wapewe pole ya nini wakati wamenunuliwa na ma drug lod
 
Ukawa watawapa pole wanatosha, siunajua tena hawana kazi za kufanya
 
Makonda uko sahihi sana, endelea tu na utaratibu wako mpaka ofisi za tbc ziwepo hapo mawingu media group na watangazaji tuwabinafsishe wawe wa tbc yetu...
 
keshasema hapangiwi,haonyeshwi njia haelekezwiiii ila tu aombeweee hahahaaaa
 
Watu wengine bwana awape pole majitu yaliyo kaaa na kuli record tukio yenyewe
 
Flash sasa imekuwa ngeu yaani mnaingia vita msio ijua hii vita ina interest kwa wauza unga nyie mmeshika bunduki bila kuelewa adui wa ukweli ni nani.MAKONDA GOO WATAELEWA TU
Unga gani mkuu!?
 
wacha waisome namba, maisha ya unafiki mwisho wao ni Aibu, nimecheka sana leo Sugu nae anawasupport clouds, wanyonyaji wa wasanii. unafiki hauwezi kuisha Tanzania
Adui wa adui yako ni rafiki yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…