Kwanini Rais Biden kwa mara ya pili hakutani na Rais Samia?

JPM asiyewahi hata kuvuka nje ya ukanda wa Subsaharan Africa lakini speech yake anayoitoa akiwa Chato tena kwa Kiswahili cha kisukuma ilirindima na kutafsiriwa viunga vya London na Washington.

Nchi imepata hasara sana!
Uwongo huo [emoji817]%
 
Sukuma gang naona mnateseka Sana na mama. Kila siku kumsakama, muacheni apige kazi.
Kila kitabu na zama zake. Magufuli zama zake zimeshapita imebaki historia. Inabidi mkubali matokeo maana Hamna namna sasa.
Bado ndio Mana amepewa hadhi ya kukutana na makamu wa rais huko USA badala ya rais mwenzie, kwao utawala wa awamu ya tano bado unaendelea, rais kaendazake lakini makamu wake aliyechaguliwa nae ndio huyo anaendeleza. "kazi iendelee" unafikiri wamarekani wanaitafsiri vipi hii slogan..."kile alichokiacha Magu kiendelee.."
 
K
Kule kilichoenda kufanyika ni uzinduzi wa filamu.

Sasa ulitaka kweli Rais wa Taifa kubwa kama marekani akajadiliane na mwenzake kuhusiana na filamu.

Ndio maana akapewa mwenzake maana wanaweza zungumza lugha moja wakaelewana.
Kwa africa nchi zinazoruhusiwa kukutana na rais wamarekani ni South africa, misri, Nigeria, kwa mbaali kenya na Algeria, Nyingine zote zilizosalia rais akienda marekani ni kama mkuu wa mkoa anavyoenda Dodoma au Dar
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Unajua hasa lengo la ziara ya Rais wako Marekani?

Unajua kafuata nini?

Unajua atakutana na kuzungumza na kina nani na kuhusu nini? [emoji23][emoji23]

Unadhani ni rahisi tu kuonana na Biden, la hasha. Ana ratiba zake na tena ngumu tu kulisimamia taifa lake. Hii kuonana na Kamala Harris ni baada ya white house kuwa na taarifa za ujio wa Rais wa Tanzania ndio wakamualika Ikulu lakini haikuwa state visit.
 
In other words unataka kusema kama Kayafa JPM chuma angesema anaenda unyamwezini lazima Joe Biden angetaka kukutana naye sio.

Wenzetu wana heshima wanajua SSH ni muislamu na huu ni mfungo wa ramadhan ni vizuri akakutana na mwanamke mwenzie mwemye mamlaka kama ya Biden.

Biden labda yuko na busy schedule lakini naamini atakutana naye tuu.
Je wakati kaenda mwaka jana ilikuwa mwezi wa Ramadhani?
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Amekuwa anakwenda kwa safari zake binafsi bila kualikwa na serikali ya Marekani; ndiyo maana hupokelewa na watanzania tu bila afisa yeyote wa serikali ya marekani kuwapo. Ubalozi wetu umekuwa unaomba apewe nafasi ya kukutana na uongozi wa serikali ya Marekani, nao kwa ustaarabu wanampa akutane na Kamala, wangeweza kumpa aongee na Blanken lakini wakaona hiyo itakuwa siyo vizuri. Akikaribishwa na serikali ya Marekani, basi atapokewa na rais Biden na kufanya naye mazungumzo ndani ya Oval office siyo siyo kwenye office ya Vice President tena.

Miaka ya 80, nadhani mwaka 1989, aliyekuwa waziri wa utamaduni, vijana na Michezo Fatma Saidi Ali alikwenda Nigeria kwa safari zake binafsi bila kualikwa, ila akamtaka balozi wetu kule Mwasakafyuka amfanyie connection kusudi akutane na waziri mwenzake wa Nigeria ionekana kama yuko kule kikazi. Serikali ya Nigeria ikakataa kutoa ushirikiano na wala hakukutana na Waziri mwenzake kwa vile safari hiyo haikuwa inajulikana na wizara ya mambo ya nje ya Nigeria. Aliporudi akamchongea Balozi Mwasakafyukwa kwa Mwinyi akafukuzwa kazi!
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Masahihisho tafadhali. Mara ya kwanza Rais Samia HAKUKUTANA hata na Makamu wa Rais. Ushahidi ni hotuba yake hii aliyoitoa mbele ya Kamala Harris baada ya kumpongeza yeye na Biden kwa kuchaguliwa. Mara ya kwanza alikutana na "Second Under Secretary of State for African Relations, East Africa Section"!
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Fuatilia uone msululu wa Marais ambao hawajakutana na Biden, bali wamekutana na Makamu wa Rais.

Jambo la muhimu ni ajenda. Wenzetu wanaangalia zaidi ajenda unazoenda kuziongelea, kisha directly unapewa m kamatu anayeshughulika na mambo hayo. Unaweza kupewa hata Waziri wa masuala ya kigeni, kama wataona kuwa ndiye mtu sahihi. Hawana Makamu wa Rais ambaye kivuli bali mwenye majukum yaliyoainishwa.

Usiishi kwa kukariri.

US, majukumu muhimu kabisa ya Rais ni ulinzi na usalama. Kama Rais angekuwa anaenda kujadili masuala ya ugaidi au hatari ya Serikali ya nchi fulani kupinduliwa na jeshi, angekutana na Rais. Kikwete alikutana mara kadhaa na Rais wa US kuhusiana na mgogoro wa Comoro, assasination ya Rafiq Hariri, uvamizi wa Rwanda Congo.
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Mama anajiuza US ila hauziki, ana harufu ya ufisadi, Udini udikteta na ukabila
 
JPM asiyewahi hata kuvuka nje ya ukanda wa Subsaharan Africa lakini speech yake anayoitoa akiwa Chato tena kwa Kiswahili cha kisukuma ilirindima na kutafsiriwa viunga vya London na Washington.

Nchi imepata hasara sana!
Jambazi akiwa Mwandiga, akisema anajiandaa kufanya ujambazi Mwanza, unadhani vyombo vya habari vya Dar, havitatangaza. Uovu huvuma.
 
Back
Top Bottom