TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,627
- 28,706
Hiyo vita ana lazimisha imuhusu!Biden ametingwa na Russia- Ukraine war, isingekuwa busara kukutana na Rais Samia. Hata wamarekani wasingemuelewa
Hiyo vita ana lazimisha imuhusu!Biden ametingwa na Russia- Ukraine war, isingekuwa busara kukutana na Rais Samia. Hata wamarekani wasingemuelewa
Yamkini sina majibu sahihi ila mostly ya marais wannchi za ulimwengu watat wanakutan na makamu kamala HarrisNdugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?
Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Hakuna budi kuwe na safari ya mara ya tatu!TutafanikiwaMasahihisho tafadhali. Mara ya kwanza Rais Samia HAKUKUTANA hata na Makamu wa Rais. Ushahidi ni hotuba yake hii aliyoitoa mbele ya Kamala Harris baada ya kumpongeza yeye na Biden kwa kuchaguliwa. Mara ya kwanza alikutana na "Second Under Secretary of State for African Relations, East Africa Section"!
Mkuu hata Lissu angekua ni raisi, still bado angekutana na HarrisAnajua yanayoendelea Bongo ndio maana anampotezea.
It's USAHiyo vita ana lazimisha imuhusu!
Sawa kabisa.Nakumbuka katika kipindi hicho, ilikuwa ni Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema ndiye ambaye alipata wasaa wa kukutana na The Vice President Kamala Harris
Kama kilaza anakuongoza na kukuamulia maisha wewe na Bibi yako,wewe ni Nani!?Samia ni kilaza
Mnadhani CCM iibe uchaguzi,iue imueke Mbowe ndani kwa charges za *******! Alaf Biden atoke amsikilize Samia!? Seriously!? Mnadhani Hana vitu vya kufanya. Boresheni utawala Bora na hakiNdugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?
Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Kuliko yule aliyekuwa hajui Kiingereza na ile PhD yake ya michongo 😆Samia ni kilaza
Especially pale unapotembeza sinia huku ukimponda former president kwa maamuzi mliyoyafanya wote. UnafikiUkiwa omba omba watu wanakukwepa
Aibu sana bora angekula kimya.Especially pale unapotembeza sinia huku ukimponda former predident kwa maamuzi mliyoyafanya wote. Unafiki
I hope Dr. Mpango yeye hatoingia kwenye huu mtego wa kutema nyongo hadharani siku zamu yake ikifika
Tabu sanaAmekuwa anakwenda kwa safari zake binafsi bila kualikwa na serikali ya Marekani; ndiyo maana hupokelewa na watanzania tu bila afisa yeyote wa serikali ya marekani kuwapo. Ubalozi wetu umekuwa unaomba apewe nafasi ya kukutana na uongozi wa serikali ya Marekani, nao kwa ustaarabu wanampa akutane na Kamala, wangeweza kumpa aongee na Blanken lakini wakaona hiyo itakuwa siyo vizuri. Akikaribishwa na serikali ya Marekani, basi atapokewa na rais Biden na kufanya naye mazungumzo ndani ya Oval office siyo siyo kwenye office ya Vice President tena.
Miaka ya 80, nadhani mwaka 1989, aliyekuwa utamaduni vijana na Michezo Fatma Saidi Ali alikwenda Nigeria kwa safari zake binafsi bila kualikwa, ila akamtaka balozi wetu kule Mwasakafyuka amfanyie connection kusudi akutane na waziri mwenzake wa Nigeria ionekana kama yuko kule kikazi. Serikali ya Nigeria ikakataa kutoa ushirikiano na wala hakukutana na Waziri mwenzake kwa vile safari hiyo haikuwa inajulikana na wizara ya mambo ya nje ya Nigeria. Aliporudi akamchongea Balozi Mwasakafyukwa kwa Mwinyi akafukuzwa kazi!
Eti anaenda US kusema walipishana na Magufuli kuhusu corona, hayo ndo ya kumwambia Biden? Hata huyo VP kajuta kukutana na mipasho sidhani kama atakaa nae kuongea Tena labda aitishe tuu kikao na Mbowe ndo atapigiwa vigelegele.Samia ana issue gani ya maana ya kumfanya Biden atake kuona naye
DuhAibu sana bora angekula kimya.
Ajue anaongea na watu wenye akili
Well, ajuaye Mungu. Lakini Mpango na Samia intellectually they are planets apart.I hope Dr. Mpango yeye hatoingia kwenye huu mtego wa kutema nyongo hadharani siku zamu yake ikifika
DuhWell, ajuaye Mungu. Lakini Mpango na Samia intellectually they are planets apart.