Kwanini Rais Biden kwa mara ya pili hakutani na Rais Samia?

Sijaona hata akikagua gwaride la heshima Hawa jamaa wana dharau sana, au sio state visit?
 
Rais wa CCM ni kama Rais wa tff mbele ya Rais wa Marekani.
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
I think Mr Biden let Kamala Harris meet our president, because he knew what it all means for both of them, they both history makers and glass ceiling breakers. First Woman to ever be a VP in the US and first Woman to ever be a President in Tanzania and East Africa.. Such a proud moment
 
Nadhani safari ya Rais hupangwa na hujulikana toka mwanzo anaenda kukutana na nani na wataongelea nini.

Ajenda kuu kuzindua filamu, halafu unataka akutane na Biden?

Kwa ajenda aliyoendea, kukutana VP amepewa heshima kubwa sana, angeweza kukutana tu na Foreign secretary au waziri anayeshughulikia italii, maana lengo kubwa ni kuwavutia watalii wa kutoka huko.
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Anajua ukweli kwamba kinachoendelea kwa sasa Rais hajaenda Marekani.

Aliekwenda ni Makamu wa kwanza wa Raimsoga.
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Siyo saizi yake!! Wengine ni wasafi kiasi kwamba kukutana na mchafu unachafuka bila kumgusa! FBI na CIA wako makini ajabu.
 
In other words unataka kusema kama Kayafa JPM chuma angesema anaenda unyamwezini lazima Joe Biden angetaka kukutana naye sio.

Wenzetu wana heshima wanajua SSH ni muislamu na huu ni mfungo wa ramadhan ni vizuri akakutana na mwanamke mwenzie mwemye mamlaka kama ya Biden.

Biden labda yuko na busy schedule lakini naamini atakutana naye tuu.
Biden anajuwa ufisadi wote unaendelea nchini.

Biden anazo data za Tanzania kuliko mwana JF yeyote humu.

Biden anaujuwa u-Janaba wote uliofanyika hapa nchini mwaka jana.

Biden hataki mikono isiyo misafi.

Nimeona unazunguka sana mbuyu bila haya wala soni.
 
I think Mr Biden let Kamala Harris meet our president, because he knew what it all means for both of them, they both history makers and glass ceiling breakers. First Woman to ever be a VP in the US and first Woman to ever be a President in the Tanzania and East Africa.. Such a proud moment
In the tanzania 😆😆😆
 
Ndugu zangu,

Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.

Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.

Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.

Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?

Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Unafikri POTUS huwa unakutana na watu hovyo hovyo? Jitafakari sana mwanangu! Huyo siyo level ya kwetu! Kwanza kwa US kukutana na Makamu wa Rais tu watakuwa wamekuheshimu sana!
 
In other words unataka kusema kama Kayafa JPM chuma angesema anaenda unyamwezini lazima Joe Biden angetaka kukutana naye sio.

Wenzetu wana heshima wanajua SSH ni muislamu na huu ni mfungo wa ramadhan ni vizuri akakutana na mwanamke mwenzie mwemye mamlaka kama ya Biden.

Biden labda yuko na busy schedule lakini naamini atakutana naye tuu.
Tushike lipi hapo mkuu

Sababu ya mfungo au joe yuko busy?
 
Endelea kumuwaza Biden👇

Screenshot_20220416-065936.png
 
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Biden ana issue zake. Kama anafikia kutia mkono kumshukuru mtu ambaye haonekani baada ya kuhutubia unadhani hilo ni jambo dogo?
 
wana vigezo vyao wenyewe wamejiwekea vya mtu wa kuongea na rais wao.
Hata sisi tunaweza .
 
Masahihisho tafadhali. Mara ya kwanza Rais Samia HAKUKUTANA hata na Makamu wa Rais. Ushahidi ni hotuba yake hii aliyoitoa mbele ya Kamala Harris baada ya kumpongeza yeye na Biden kwa kuchaguliwa. Mara ya kwanza alikutana na "Second Under Secretary of State for African Relations, East Africa Section"!
Nakumbuka katika kipindi hicho, ilikuwa ni Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema ndiye ambaye alipata wasaa wa kukutana na The Vice President Kamala Harris
 
Biden ana issue zake. Kama anafikia kutia mkono kumshukuru mtu ambaye haonekani baada ya kuhutubia unadhani hilo ni jambo dogo?
Biden ametingwa na Russia- Ukraine war, isingekuwa busara kukutana na Rais Samia. Hata wamarekani wasingemuelewa
 
Back
Top Bottom