Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,390
- 13,720
Simple tu mbona... Piga simu White House au Ubalozi wa US utapata majibu rasmi!!
DahSamia ni kilaza
Tena ile speech ya mapapai na mbuzi yana korona ilibamba hadi area 51!!wazungu walichanganyikiwa!!!JPM asiyewahi hata kuvuka nje ya ukanda wa Subsaharan Africa lakini speech yake anayoitoa akiwa Chato tena kwa Kiswahili cha kisukuma ilirindima na kutafsiriwa viunga vya London na Washington.
Nchi imepata hasara sana!
Dini yake inaruhusu. Sema lingine.Ongeza na yakuolewa mitala
Presidaa wa sasa anasifa za kipekee
Mwanao akisema anataka kuwa kama Saa 100 mpige, maana si kwa sifa alizonazo
Sababu jamaa alielewa nini maana ya taasisi ya urais. Miaka mitano tu nchi ilijenga heshima iliyoikosekana miaka 60 iliyopita. Huyu hata sikujua kwamba yupo Marekani.Tena ile speech ya mapapai na mbuzi yana korona ilibamba hadi area 51!!wazungu walichanganyikiwa!!!
Biden au Trump wamekutana na JP mara ngapi?Ndugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?
Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Sio lazimaNdugu zangu,

Wakija hata ikulu yenu wanaimiliki wao kwa muda. Kwani walinzi wenu wanaonekana kama walinzi wa kizamani wa kimakonde, wale wa ukikimbia nchale, ukichimama nchale.Umenichekesha hapo uliposema Biden akija Tanzania ataongea na makamu wa rais.
Hivi vichekesho mnatunga wenyewe au mna download?
Magufuli hakuwahi kwenda Marekani; nakuapia kuwa iwapo angekwenda kungekuwa na msongamano mkubwa sana kwenye viunga vya Washington, DC kwa vile watu wengi wangetaka kumwona. Taarifa za ujio wake tu zingesambaa kama moto kwenye mafuta ya petroli.Biden au Trump wamekutana na JP mara ngapi?
🤣🤣🤣🤣🤣Na hichi ndiyo kipindi cha mumewe kumkunja vizuri maana amekua mpoole kama kobe.
Ndugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?
Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?
Hii ni mbaya sana tena sana! Mtu mwenye nidhamu, maadili na ustaarabu hawezi andika hiki ulichokiandika. 🙏🙏🙏Samia ni kilaza
Sukuma gang naona mnateseka Sana na mama. Kila siku kumsakama, muacheni apige kazi.Sababu jamaa alielewa nini maana ya taasisi ya urais. Miaka mitano tu nchi ilijenga heshima iliyoikosekana miaka 60 iliyopita. Huyu hata sikujua kwamba yupo Marekani.
Hii ni mbaya sana tena sana! Mtu mwenye nidhamu, maadili na ustaarabu hawezi andika hiki ulichokiandika. [emoji120][emoji120][emoji120]
We acha hizo, usihamishe gori. Swali hilo halipo mana yule ndio mwenyeji wakeAngekutana nae kwa mara ya pili bado pia mngehoji kwann amekutana nae mara ya pili