Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

Kwani hyo miaka mitano ya mwisho ameimaliza akitumika kama nani?
Ebu fikiria makamu wa raisi wa wakati huo mh. SSH angejiengua mwaka 2020 halafu agombee na apite(maanake amuangushe magufuli) je 2025 asingeruhusiwa kugombea urais?
Hakujiengua, kwa hiyo hoja yako haina mashiko. Pia alisema 2025 hatagombea kwa muktadha huu huu. sema kingine
 
Kama samia ana awamu yake,je anatumia ilani ipi ya uchaguzi ?! Ni awamu gani ambayo haina ilani ya uongozi?!
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?

Swala la Maza ni tofauti sana.

Maza hajawahi kuomba au kuonyesha nia kuwa anaweza. Kitendo cha kuchukua fomu ni ishara ya kutia nia. Pia kupata wadhamini ni ishara ya watu wana imani na wewe kuwa una huo uwezo. Kitendo cha yeye kukwepa hilo kunamkosesha uhalali.

Yalyempendekeza ndiye mtu pekee ambaye anajua nia yake na uwezo wake.

By the way, ni nani aliyeinuka na kumpendekeza Maza kwenye mkutano mkuu?
 
Pole pole shujaa mpya wa chadomo ni takataka kama takataka zingine.

Alitaka nani awe rais wa JMT?
Polepole ni Shujaa kwa watu watu ambao ni wajinga sana yeye ikivunjwa Katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania yupo tayari kukaa kimya lakini ikivunjwa katiba ya CCM yuko mbio mbio huyu ni maslai binafsi bora Lissu anayepambania Reforms ambazo zikifanyika zinakuwa faida ya watu wote kiazazi na kizazi ningekua Mama naacha nimefanya reforms nawapatia na katiba ya Warioba na jiuzulu nakaa pembeni
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
He's just spinning the truth to catch attention of the fools!
 
Kama samia ana awamu yake,je anatumia ilani ipi ya uchaguzi ?! Ni awamu gani ambayo haina ilani ya uongozi?!
Chama cha mapinduzi huwa kina ilani ya miaka mitano tu na si miaka 10..
Hata hivyo hakuna rais atokanaye na ccm huwa ana ilani yake, badala yake chama ndo kina ilani na humkabidhi raisi atokanaye na ccm..
Ilani ya 2020/2025 siyo ya magufuli wala samia bali ni ya ccm(ndo maana wagombea wote hukabidhiwa, kuanzia rais hadi diwani)
 
Swala la Maza ni tofauti sana.

Maza hajawahi kuomba au kuonyesha nia kuwa anaweza. Kitendo cha kuchukua fomu ni ishara ya kutia nia. Pia kupata wadhamini ni ishara ya watu wana imani na wewe kuwa una huo uwezo. Kitendo cha yeye kukwepa hilo kunamkosesha uhalali.

Yalyempendekeza ndiye mtu pekee ambaye anajua nia yake na uwezo wake.

By the way, ni nani aliyeinuka na kumpendekeza Maza kwenye mkutano mkuu?
Ni wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndo wana maamzi ya juu na ya mwisho kuhusu chama ndo walimpendekeza mama!
 
Chama cha mapinduzi huwa kina ilani ya miaka mitano tu na si miaka 10..
Hata hivyo hakuna rais atokanaye na ccm huwa ana ilani yake, badala yake chama ndo kina ilani na humkabidhi raisi atokanaye na ccm..
Ilani ya 2020/2025 siyo ya magufuli wala samia bali ni ya ccm(ndo maana wagombea wote hukabidhiwa, kuanzia rais hadi diwani)
Kwahyo hiyo ilani ya ccm hua haina mtekelezaji wake au kiongozi??!
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Point ni kuwa kama ulikuwa makamu kwa miaka mitano na raisi miaka mitano,kuna jipya gani unalotaka kulifanya kwa miaka mingine mitano,na huu utaratibu wa kukiuka katiba itasababisha asitake kutoka madarakani
 
Mtekelezaji wake ni yule wa wakati huo wa miaka mitano na wasaidizi wake..
Kaa ukijua utekelezaji huo hufanywa na kusimamiwa na chama cha mapinduzi..
Na mkutano mkuu kama chombo kikuu cha maamzi hupokea ripoti hyo kupitia waziri mkuu aliyepo madarakani kwa upande wa JMT, na makamu wa pili wa rais kwa upande wa ZNZ
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Halafu nyie machawa wa kimama kwann mnahangaika na mlipoangukia hamutaki kuhangaika na mlipojikwaa?
 
Point ni kuwa kama ulikuwa makamu kwa miaka mitano na raisi miaka mitano,kuna jipya gani unalotaka kulifanya kwa miaka mingine mitano,na huu utaratibu wa kukiuka katiba itasababisha asitake kutoka madarakani
Jipya lililopo ni kama ifuatavyo..
1. Ilani huwa hazifanani kwa vipindi hvyo viwili.
2. Muundo wa baraza la mawaziri hutofautiana kutoka kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na rais aliyepo madarakani.
3. Utekelezaji wa ilani hyo hutofautiana kutok kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na bajeti ya nchi kulingana na sera, dira na hali ya uchumi kwa kipindi hicho cha miaka 5.
4. Hata wajumbe wa kisekta wa chama na vikao vyake huwa ni tofauti (kumbuka kila baada ya miaka 5, ccm hufanya uchaguzi wa ndani)
5. Ari ya kiongozi mwenyewe ikiwemo aina yake ya uongozi.
6. Mapokeo ya wananchi kwa kipindi hcho cha uongozi.

SABABU NI NYINGI MNO.
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Watajuana wenyewe huko mashetani wakubwa hawa
 
Katika watu wanaojiita wanasheria wewe ni wa hovyo kweli kweli. Sijawahi kusoma chochote chenye maana kutoka kwako zaidi ya thread za kujipendekeza na kuweka akili pembeni.
 
Hakujiengua, kwa hiyo hoja yako haina mashiko. Pia alisema 2025 hatagombea kwa muktadha huu huu. sema kingine
Umelielewa swali?
Lakini vile vile kusema hatagombea na akagombea kwani kuna legal justification ya hili?

Majaliwa alisema atagombea, lakini amesitisha azima yake, mbona hatupigi kelele kwamba lazima majaliwa agombee kama alivyosema mwanzo?
 
Jipya lililopo ni kama ifuatavyo..
1. Ilani huwa hazifanani kwa vipindi hvyo viwili.
2. Muundo wa baraza la mawaziri hutofautiana kutoka kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na rais aliyepo madarakani.
3. Utekelezaji wa ilani hyo hutofautiana kutok kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na bajeti ya nchi kulingana na sera, dira na hali ya uchumi kwa kipindi hicho cha miaka 5.
4. Hata wajumbe wa kisekta wa chama na vikao vyake huwa ni tofauti (kumbuka kila baada ya miaka 5, ccm hufanya uchaguzi wa ndani)
5. Ari ya kiongozi mwenyewe ikiwemo aina yake ya uongozi.
6. Mapokeo ya wananchi kwa kipindi hcho cha uongozi.

SABABU NI NYINGI MNO.
Katika kanuni nzuri ambayo CCM wamejitengenezea basi hii ni nzuri sana. Kama mtu unatumia akili vizuri utaona sababu zake ni tofauti kabisa na haya uliyoorodhesha. Pia kunaondoa mgongano wa maslahi. Kwa nini hii kanuni ibadilke kipindi cha Samia tena aliyeshindwa kabisa kuongoza?
 
Back
Top Bottom