Ndugu yangu umeliona hili? Huwa linanisumbua sana. Of all the people BAK, Wyatt Mathewson, Lyamber na ... kutokumwelewa Paschal. Wajaribu kutofautisha taarab na rusha roho. Paschal anaandika taarab na si mnafiki hata kidogo. Kumwelewa lazima uwe mwelewa. Kinachonisikitisha ni hao niliotaja ni waelewa wa viwango lakini hawamwelewi Paschal. Too bad. Kuna siku watamwelewa. Meanwhile wasimuite majina yasofaa!Ajabu ni kuona kuwa na wewe huelewi nini maudhui ya makala za Pasco, kwa kifupi Pasco huwa anatupa bomu la machozi kwenye handaki halafu yeye anakaa pembeni kuangalia Nini kitatoka huko ndani ...
Ajabu ni kuona kuwa na wewe huelewi nini maudhui ya makala za Pasco, kwa kifupi Pasco huwa anatupa bomu la machozi kwenye handaki halafu yeye anakaa pembeni kuangalia Nini kitatoka huko ndani ...
Sio msukuma bali amekulia usukumani baasi, baba na babu wote sio wasukumaUkweli huo hauna mashaka! Ulizia historia ya baba yake
wewe umeona amekomenti Mashinji au Mbowe mpk uhusianishe na Chadema?? Kwani neno mpuuzi ndio umelisikia leo??, Mkapa aliwahi waita Wtz kuwa ni MALOFA!!Jiheshimu mwana Demokrasia na Maendeleo . Kweli chama hiki kma kina watu wasiojua maana ya heshima basi hamtakuja kumtawala hata panzi
Inasikitisha mtu mstarabu kama Paschal unamtukana bure kama alikuwa hajaelewa ameelewa kosa nini? Kuna rais mbali na huyu amepigania resources za taifa? Unataka rais wa namna gani? Punguza matusi leta hoja!Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
Ile kamati ya bunge ilishafanya reverse engineering ya ubongo wake.Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.
Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea
Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.
Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.
Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.
Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.
Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
BC. C cccccccccccc. C c. B BRN gMzee Wa kungata na kupuliza!
Ova
Yaani ni yale yale ya Magu. Inasikitisha!huu upumbavu wa wapumbavu fulani kutaka mawazo yao kichwani iwe ndio kanuni za maisha ya kila mtu unakera sana.
yaani mtu mpaka anakutukana mwingine kisa tu,huchukulii mambo kama anavyoyachukulia yeye。
Njaa imemzidia
Mtutsi aliyejivika ngozi ya kisukuma kuwahadaa wasukuma.Kumtetea Msukuma mwenzake (ingawa JPM siyo msukuma per se)