Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?


He’s a regime booty licker!
 
Paskali anajifanya kutumia lugha ya kumpaka mafuta jamaa ili akumbukwe kwenye uteuzi, halafu anamuita jamaa msukuma wakati hana usukuma wowote ule narudia "kujua kuongea kisukuma hakukufanyi kua msukuma"
 
Mimi bado nauliza accacia na Barrick ngapi ngapi?
Tuliambiwa na Paskali kua mwisho ni tarehe tisa mwezi wa saba.Leo ni tarehe 11/7/2019...alafu apo uendelee kumtegemea kua huyu mtu in msomi makini
 
Kwanza kabisa Naomba ku-declare interest kuwa Pasco ni rafiki yangu. Tunafahamiana na huwa tunaongea mengi lakini hajawahi kujua kuwa mimi ndiye Mzito K. Na hatakuja kujua kwa sababu katika zama hizi za 'wasiojulikana' ni vigumu sana kumtenganisha Pasco na mabosi wa 'wasiojulikana'.

Pili lazima tukubali kuwa Pasco ni miongoni kwa 'brains' chache tulizonazo hapa JF na hata katika taifa.

Tatu lazima tukubali kuwa Pasco sio mnafiki. Ingawa kuna mahali fulani fulani akili yake huwa influenced na Tumbo lake lakini huo ndio unaomfanya awe binadamu kamili-Kutokukamilika.

Katika zama za awamu ya Tano ili Pasco mkono uende kinywani na njia ya liwato isiote nyasi huwa 'anabalansisha' stori zake. Lakini asilimia kubwa kwa tunaomwelewa na tunao msoma between the lines, Pasco anaitandika serikali.

Pigo kubwa la Pasco ni pale Mamvi alipokosa Urais ambao Pasco mpaka kesho kutwa anakiri kuwa Mamvi alichezewa off-side 'trick' ya kufa mtu, lakini kwakuwa alijiandaa kuongoza ile 'KURUGENZI' ya pale mjengoni matumaini yakayeyuka na Mzee baba akamfanya Pasco awe 'NJAA' kama jina lake lilivyo.

Pasco alishaingia makubaliano na mamvi kuwa akishaingia ikulu, Pasco ahamie People's power [emoji111] na baadae apewe kuongoza Kurugenzi.

Anayoyafanya sasa ni kuweweseka tu kwasababu Kurugenzi ataendelea kuisoma kwenye preas release tu.....
 
Endelea kuzugwa na huyo kikaragosi wa nduli na dikteta wa Ikulu. Kwa tunaojitambua humu na ambao tumemfuatilia kwa muda mrefu tunaelewa anachokitaka.

Ajabu ni kuona kuwa na wewe huelewi nini maudhui ya makala za Pasco, kwa kifupi Pasco huwa anatupa bomu la machozi kwenye handaki halafu yeye anakaa pembeni kuangalia Nini kitatoka huko ndani ...
 
Muoneeni huruma Pascal ,hivi kusema awamu hii ya tano nani anaweza kusema na kumchana jiwe live zaidi ya mtandaoni ,mpaka waliomsukumiza wanamwogopa .Pascal humu jumwaani anatumia real I'd ,si mnajua ana watoto na familia aiche ? MTU kaisha itwa bungeni bila kujali ana nauli au la akapewa siku na SAA afike .Huku bungeni spika ana fimbo yake aliyompigia mpinzani wake wa kongwa jamani muwe mnafikiria vizuri aaah utani tu .
 
Kiufupi Pascal Mayala sio mnafiki.

Utamuona ni mnafiki kama humfuatilii au kama umeanza kumjua leo?
Tunajua msimamo wake.

Unayoyaona ni kwenda na Beat tu ili kuepukana na wasiojulikana ila kiuhalisia we know Paskali Mayala. And he is so bright I can tell.
 
mkuu ulitaka akuabudu wewe atakuwa ameshamuelewa mzee baba
 
Tatzo amekuwa verified member hapa jf

Pia kama unamfuatiliaga alisema aliwah kataa kuwa mwanakitengo na ndio kisa cha kutumuliwa tibisisiem kwahyo ameona bora asande tu
 

PASCAL UKUJE UJIBU HILI SWALI "KWA NINI UMEKUWA MNAFIKI"?

Au kuna nafasi umehaidiwa nini? Tuambiae tu
 
Ukabila......!

Nothing else
 
Pascal Mayalla ni bonge moja wa mnafiki
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”....!!
 
Pasco anatumia fasihi kufikisha Ujumbe ... ana ng'ata na kupuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…