Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

1. Ni mtoto wa askari.
2.Maana ya jina lake.Njaa
 
Njaa Mkuu imezidi kuwa kali.

 
Kuna sheria yo yote ya nchi ambayo kavunja? Si kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka, kuabudu anachotaka, kuwaza anavyotaka, kufuata itikadi anayotaka, kubadili misimamo anavyotaka, kujishabihisha na mazingira na mifumo mbalimbali inayomzunguka katika jamii yake anavyotaka ali mradi tu asivunje sheria?

Uhuru huu wa mtu kuwa huru kifikra, kiitikadi, kisaikolojia na nyanja zinginezo si ndiyo unapiganiwa na kila mwanaharakati na mpenda uhuru?

Nadhani ninachojaribu kusema ni kwamba sioni tatizo hata kama amebadili misimamo yake. Labda kama kavunja sheria...Halafu hii tabia ya kujadili watu wa kawaida hii mh! Afadhali angalau kama angekuwa public figure, msanii au mwanasiasa...
 
Sioni umuhimu wa kuandika mada kuhusu Pascal.Yaani unasahau aliitwa kwenye ile nyumba ya Mr Dhaifu na hakuweza kusema yaliyojiri baada ya mjadala ,sasa unataka apelekwe kwenye nyumba nyingine au Zimbabwe?
 
huu upumbavu wa wapumbavu fulani kutaka mawazo yao kichwani iwe ndio kanuni za maisha ya kila mtu unakera sana.

yaani mtu mpaka anakutukana mwingine kisa tu,huchukulii mambo kama anavyoyachukulia yeye。
 
nyepesi nyepesi ni kwamba kahaidiwa teuzi kwa hiyo anatumia nguvu kubwa kuwaaminisha wananchi kuwa Nchi iko Imara chini ya Amri Jeshi Mkuu Mh John Joseph Pombe Magufuli Msukuma wa Chato.
 
Njaa haina baunsa !
 
Mimi ninavyosoma nyuzi zake naona kama huwa anatumia lugha ya kufumba fumba hivi, ni kama zile katuni za Masudi ila yeye huweka kimaandishi.


There u r...yaan mm nachekaga mwanzo mwisho..nashangaa kwann watu huwa hawamuelewi..kifupi Paskali anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa..!msomen vzr mtamwelewa..Paskal wala hatak hata hvyo vyeo vyao...!
 
Nyie watu mnataka atekwe?
 
There u r...yaan mm nachekaga mwanzo mwisho..nashangaa kwann watu huwa hawamuelewi..kifupi Paskali anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa..!msomen vzr mtamwelewa..Paskal wala hatak hata hvyo vyeo vyao...!
Inashangaza mpaka wa leo wapo ambao hawajamsoma jamaa.

Tatizo vijana wengi ni wa juzi, hawakuwepo zile enzi za 'kiti moto'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…